Tradecar view na VALUE PLANNER CO.,LTD

Tradecar view na VALUE PLANNER CO.,LTD

Ufuatilie nini tena jamaa kazi yote ameishaimaliza wewe Kimbia

Si ndio ata mimi namshangaa.
Hapo juu jamaa wote wanalalamika gari zimeoza alafu yeye anaongelea kufatilia badala ya kutoka nduki lol!
 
Wakuu habarini!

Moja ya makampuni yanayofanya shuguli kupitia trade car view ni VALUE PLANNER CO.,LTD je kuna yeyote ambaye amewahi kuitumia hii kampuni?

Uhakika wake na wa mzigo ukoje?
Kimbia Faster, toka nduki we Kimbia,
Ukianguka, ukiumia, inuka vumilia
X2
 
Dealer wa Magari wanaotumia Tradecarview ni wengi hapa Japan na Sio wahaminifu Kama una ndugu yako au jamaa hapa Japan mwambie akusaidie Mimi naishi hapa nilikuwa nasaidia watu wanaohitaji Magari nyumbani Lakini nimeacha kwasababu ni pasua kichwa mtu akishakutumia dola zake kadhaa sasa anaanza kukupa stress, za simu hata usiku wa manane ukichukulia mtu akipiga simu bongo ni mapema hapa inakuwa tayari ni usiku! Malalamiko yanaanza jamaa nampigia simu hapokei! Wakati wengine hatuuzi Magari Bali ni waajiliwa unakuwa unasaidia tu, anapopata gari lake hata simu ya kukushukuru hupati! Nunueni huko huko kwa dealer mkipigwa ndimu msilalamike.
 
Back
Top Bottom