Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,894
- 155,916
Population is power
Sio kwamba Ze kokuyo, Ameshindwa kukuwekea list ana sababu zake anajuwa Marekani itapata aibu!Na Marekani wanatumia boda boda za mchina? U cant be serious...
HahahahSio kwamba Ze kokuyo, Ameshindwa kukuwekea list ana sababu zake anajuwa Marekani itapata aibu!View attachment 734062
hahahaha propaganda mkuu hizi Marekani hana chao huko china labda 0.01%Jamani hiyo ishu ya uchina kuongezewa kodi tuichangamkie. Makampuni mengi ya Marekani yalikuwa yanazalishia bidhaa zao China sababu ya gharama nafuu. sasa hizo kodi zitawafanya wafikirie sehemu zenye gharama ndogo zaidi na ni Africa. Tuongeze uzalishaji wa umeme, Tutenge maeneo mapya ya viwanda, Tupunguze sheria na kodi za uanzishwaji wa viwanda na tujitangaze kuwa tunakaribisasha wawekezaji.
Wee jamaa bana china amefanya kitu kinaitwa trade licenseSoko la africa?hiv hujui africa inachkua vtu vya electronic toka korea na japan,.hahahahah,..samsung,LG,.singsung,..etc vyoote from korea na japan...china soko lake ni america,na itakula kwake,
Mwenzie marekan concentration ya kufanya trade hzo alishamaliza toka miaka ya 1980s,..sasa hiv uchum wa marekan unategemea vtu vingne kabsaa,..mchina na anaibuka sasa hiv so anafanya biashara ambazo marekan alifanya miaka ya 80.hahaha
Unajua watu hawaelewi hii kitu...there is no way ubaweza kuepuka fanya biashara na mmarekan wheather is direct or in directZaidi ya Asilimia 30% ya Soko la nje la china Anauza kwenda USA...hapo ndipo tutaona nani anaibuka m-babe
Ni kweli mkuu, maana hata waengereza kwenye vita ya propaganda kuhusu Urusi kuhusika kwenye shambulio la kumdhuru jasusi wao washaanza kusarenderMe, karata yangu kwa Mchina ataibuka mshindi 100%!!!
Kasome upya takwimu za Kiuchumi...Afrika Haijafikia kununua Hata 10% ya Bidhaa za China....
Marekani pekee wananunua 30% ya Bidhaa za China....
Unapoenda dukani Ukaona Karibia Kila kitu ni Made in China Haimaanishi kwamba china Ndio inategemea zaidi Soko la Africa ......
Unajua Africa Nzima Hatufikii hata 8% ya Uchumi wa Dunia???
View attachment 734070
huna unalojua weweMe, karata yangu kwa Mchina ataibuka mshindi 100%!!!
huna unalojua wewe
Soko la Afrika ni kwa bidhaa za viwango vya chini tu. Kwa bidhaa za viwango vya juu, China inategemea sana soko la North America na Europe.SOKO lipo africa
Kwa matamanio upo sahihi, kiuhalisia completely wrong.Me, karata yangu kwa Mchina ataibuka mshindi 100%!!!
Mwalimu wako qa uchumi ni nani?huna unalojua wewe
Sawa we unajuwa !? Tuambie unalojuwa?huna unalojua wewe
Mkuu nifahamishe kidogo Apa tuna mjadili Marekani au tunajadili pamoja na European au na north America nzima wamemuunga marekani mkomo juu ya kuzipandishia ushuru Biadhaa za china !!?Kwa matamanio upo sahihi, kiuhalisia completely wrong.
Afrika ni soko zuri kwa cheap substandard chinese products lakini strong chinese quality products market ni North America na Europe.
Find this , africa or Usa where does chiness invest more money.
SourceMkuu
China inaidai USA hela as of January 2018 kiasi cha 1.17 USD trilion dollars...China inaidai Africa some few tens USD Billions dollars...
China ina hela nyingi USA zaidi ya Africa put together!
Africa ni kashamba kabibi tu ku-provide some raw materials kwa ajili ya viwanda kadhaa China...
Africa is overated!
China needs USA more than Africa put together!
Source