Tractor used linauzwa

Tractor used linauzwa

Muwindaji

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2015
Posts
245
Reaction score
206
Habari wadau.

Hili ni tractor aina ya Massey Ferguson
Horsepower 255.
Tunakupatia na jembe lake bure ukinunua tractor.

Lipo maeneo ya Bunju. Japo biashara itamuhusisha mtu aliyepo popote.

Kwa mawasiliano zaidi
Piga namba hizi: +255712138156

b2dd1d80a60ce8a8fbe89b6e8525eeb4.jpg
 
Unaruhusiwa kufanya mawasiliano kwenye namba hiyo muda wowote.
 
Bei gani naona kama limeshapiga mzigo vya kutosha.
 
Mtu akiona tu uzii huu kwanza anakimbilia kwenye bei, hata kama picha haijafunguka bado.."WEKA BEI MZEE"
 
Bei ni kubwa sana mpaka naogopa kuiweka hapa,
Njooni Inbox,
 
Kwa maelezo zaidi naomba mnicheki kwenye hiyo namba yangu.

Kwa mtu yoyote wa Dsm anayetaka kuliona anicheki kwenye hyo namba.
 
Bei gani naona kama limeshapiga mzigo vya kutosha.
Mkuu hii ni product bora kutoka uingereza... Durability ndio sifa yake kubwa. Hata hivyo halijatumika sana.

Nicheki humu 0712138156
 
Back
Top Bottom