Tractor used linauzwa

Muwindaji

JF-Expert Member
Feb 28, 2015
245
250
Habari wadau.

Hili ni tractor aina ya Massey Ferguson
Horsepower 255.
Tunakupatia na jembe lake bure ukinunua tractor.

Lipo maeneo ya Bunju. Japo biashara itamuhusisha mtu aliyepo popote.

Kwa mawasiliano zaidi
Piga namba hizi: +255712138156

 

kangau

JF-Expert Member
Jan 7, 2016
259
250
Mtu akiona tu uzii huu kwanza anakimbilia kwenye bei, hata kama picha haijafunguka bado.."WEKA BEI MZEE"
 

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
26,558
2,000
Bei ni kubwa sana mpaka naogopa kuiweka hapa,
Njooni Inbox,
 

Muwindaji

JF-Expert Member
Feb 28, 2015
245
250
Kwa maelezo zaidi naomba mnicheki kwenye hiyo namba yangu.

Kwa mtu yoyote wa Dsm anayetaka kuliona anicheki kwenye hyo namba.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom