Trab Trat ( Captain Tesha,) yupo Facebook

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,729
Reaction score
5,639
Ana leanings kidogo towards Chadema. Slight leanings.

Lakini analysis yake ya hali ya siasa ni quite accurate.Anaongea mambo yale yale ambayo Watanzania wanayazungumzia.

Nadhani everyone should be calm,na hawa vijana idealistic,kama huyu Captain Tesha,ambao wanafikiria nchi yetu inaangania,such youths should be told to be calm.

Sasa tusibiri Uchaguzi,tupige, lazima tupige kura,kwa sababu hii siyo nchi ya Kisultani. Tuna Katiba ambayo inatutaka tupige kura.

Very alarming talk from Captain Tesha ,but youths can say just about anything.
Serikali ingewacha haraka ya kufungia mitandao ya kijamii.

Sasa wananchi wanajiongoza wenyewe wanayapiga mawe mabasi.
 
huu mwezi kuja ukaishe mtakuwa mmrusha tako sana
 
Kaka wa familia ndie kobis Kila kitu kombolela.

Mzee kikala lisha restishwa in pisi
 
Ana leanings kidogo towards Chadema. Slight leanings.

Lakini analysis yake ya hali ya siasa ni quite accurate.Anaongea mambo yale yale ambayo Watanzania wanayazungumzia.

Nadhani everyone should be calm,na hawa vijana idealistic,kama huyu Captain Tesha,ambao wanafikiria nchi yetu inaangania,such youths should be told to be calm.

Sasa tusibiri Uchaguzi,tupige, lazima tupige kura,kwa sababu hii siyo nchi ya Kisultani. Tuna Katiba ambayo inatutaka tupige kura.

Very alarming talk from Captain Tesha ,but youths can say just about anything.
Serikali ingewacha haraka ya kufungia mitandao ya kijamii.

Sasa wananchi wanajiongoza wenyewe wanayapiga mawe mabasi.
Wewe babu dish lako.limeshayumba hata hueleweki
 
Captain Tesha amefanya jambo la ujasiri sana kwa kujitokeza kwake hadharani na kuongelea masuala ya msingi yahusuyo Taifa letu. Kimsingi amewaongezea vijana nguvu ya kulipigania Taifa lao hiyo Oktoba 29.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom