TRA yapata Boss mpya

ng'ombo

JF-Expert Member
Dec 1, 2014
418
619
BSEEuAIAeuU.jpg
 
Teua baba teua, 2020 mwisho wako wa kuteua, usisahau kumteua Bashite kuwa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi kabla ya 2020
 
kinacho nishangaza unakua kama mchezo wa draft..mtu hukai mahala ukatekeleza mipango mizuri ..mara unaondolewa analetwa mwingine..sasa sijui hajiamini katika teuzi zake..mmmh haya yeye ndio mwamuz
 
hivi mpaka leo wameshabadilishwa wangapi tangu Kitilya, na nini kimebadilika/kimeongezeka kiufanisi hadi sasa?
 
Kutengua na kuteuwa ndio mtindo,hivi hata efficiency itaonekana kwa hii style
 
Back
Top Bottom