TRA yakusanya tr.15.9 July -Juni 2029

Anamainisha July 2018-June 2019
Ni kweli mku ni July 2018 mpaka June 2019 kama kwenye gazeti la leo. Wamekusanya T15.5 malengo ilikua T18. Hongera kwa makusanyo. Kwa wastani kila mwezi ni T1.3
 
Mmekusanya hela zote hizo halafu wafanyakazi mnawalipa kwa awamu
 
Rudi shule kwanza kijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…