Mzee Nondo
Senior Member
- Feb 26, 2014
- 125
- 83
Je Msioipenda Serikali ya awamu ya 5 na Ccm
yake bado hata kwa hili hampongezi?
Je Hamuoni kuwa msipoipongeza Serikali kwa
hili mtakuwa Wanafiki?
Je kuendelea na Unafiki hamuoni mtakuwa
chukizo kwa Mungu wa Mbinguni?
Basi njooni tusemezane Tanzania kumenoga.
sio lazma wote tuipende mkuu
kwanza upendo haulazimishwi kuna mademu wakali tu na hawapendwi still hawaolewi
Yaani kuna watu siku hizi wana biashara ya kupongeza tu
2029 tumefika?TR.15.9 ndiyo nini sasa?
Hata ukikusanya 100T kwa mwezi kama zinaenda tu chato hazifikii watu na kuwasaidia haina maana
Je Msioipenda Serikali ya awamu ya 5 na Ccm
yake bado hata kwa hili hampongezi?
Je Hamuoni kuwa msipoipongeza Serikali kwa
hili mtakuwa Wanafiki?
Je kuendelea na Unafiki hamuoni mtakuwa
chukizo kwa Mungu wa Mbinguni?
Basi njooni tusemezane Tanzania kumenoga.
Sikiliza Clip utaelewaMkuu hebu kwanza tujulishe katika kipindi ulichokusudia kutolea taarifa mlipanga kukusanya kiasi gani na mmefanikiwa kukusanya nini? Je lengo mmelifikia kwa asilimia ngapi?
Kama hutaki kanunue kamba nawewe uji........Mnalazimishia kupendwa!?
Rekebisha 2029...nahisi ni 2019