TRA Yakusanya Shilingi Trilioni 6.58 Kwa Robo ya Kwanza(July-September) 2023/24

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,051
49,736
Mamlaka ya mapato Nchini TRA imesema imefanikiwa kukusanya kiasi tajwa hapo Juu ikiwa ni Ufanisi wa zaidi ya 97% ya lengo na Ongezeko la mapato ghafi Kwa Zaidi ya Asilimia 11% ikilinganishwa na Mwaka Jana.

Kwa hesabu hizo Sasa TRA wanakusanya wastani wa Shilingi Trilioni 2.2 kwa mwezi Toka wastani wa sh.1.5 Kwa mwezi mwaka 2020/2021.

Kwa miaka 3 mama ameongeza bil.700 Kila mwezi.Hii ni rekodi ambayo haijawahi fikiwa na Rais yeyote kabla.

Kazi iendelee,bila mdomo na kujitutumua ila kazi inafanyika.

Walipakodi wote tujipongeze,kulipa Kodi ni uzalendo.

View: https://twitter.com/Hakingowi/status/1709141930062331946?t=eew0BSFkXkf_-yZZSfUPPA&s=19
 
Wapo wajinga waliodai eti bila wafanyabiashara kuporwa kwa nguvu fedha zao watakuwa hawalipi kodi!
Siku zote ukiona mtu anaongea Kwa sauti kubwa,vitisho na majigambo ujue hamna kitu hapo kuanzia kichwani Hadi mwilini ndio maana anatumia Nguvu kutafuta utambulosho.

Happrwi mtu na mapesa ni kedekede Kwa sababu Samia ana akili.
 
Back
Top Bottom