hilo la pr ufunguo niliambiwa kaka...yule kijana wake wa kcmc alikuwa anatumega sana chuo pale
pr donge ni my best best friend na mke wake..dr mwende na mke wake mi nawaonaga makauzu sana..sinaga time nao lakini hawakuwai kunishika masomo yao nina b ila makauzu sana

issue sio nimetoka wapi? issue nipo wapi?na uzuri wako wote huo,kumbe nawe umesoma ushirika?
boa alikuwa poa hata mama hellen alikuwa ananipena sana kusema kweliAhaha Kur***e???! Shiett....na ww ni culprit?
Prof Donge yuko poa sana.
Alafu ebu define Ukauzu n in th same line wadefine Boa n mama Hellen.
boa alikuwa poa hata mama hellen alikuwa ananipena sana kusema kweli
ahahaaa mama hellen alishawai kunitoa class nilikuwa nimevaa kipedo cha hatari.urafiki wake haupo stable yule.Mama Hellen? Duh inaonesha;
1. ulikuwa kipanga sana darasani
2. ulikuwa unavaa magauni zaidi (unaijua dress code anayoipendaga)
Sasa ni difainie ukauzu wa the Mwende's!
ahahaaa mama hellen alishawai kunitoa class nilikuwa nimevaa kipedo cha hatari.urafiki wake haupo stable yule.
kuhusu ukauzu wa hao mwendes ahahaaa mbona upo interested sana? kwani wewe huwajui?
ahahaaa mama hellen alishawai kunitoa class nilikuwa nimevaa kipedo cha hatari.urafiki wake haupo stable yule.
kuhusu ukauzu wa hao mwendes ahahaaa mbona upo interested sana? kwani wewe huwajui?
kauzu ni mtu ambae hayupo friendly kiivo..honestly mi sio nawachukia wala sikuwai kushikwa hata masomo yao mama mwende dr mwende boa hellen nadhani wote nina B ...ila kina mwende mambo mambo yao bwana ..watu wanawakomaje pale!Nawafahamu n Dr. Mwende was my best lecturer and 'mentor' honestly ndo mana niko interested kufahamu definition yako ya 'kauzu'!
Nothing more.
ahaaa nadhani mentor ni mdau wao ila mi sinaga unafiki bwana kama mtu atashika robo tatu ya darasa huyo tumsemeje?
ahaaa au ndo mama mkwe wangu?Ahaha huyo ni mama yule watu walikuwa wanamuogopa bana...kha! Luckily sikupitia mikononi mwake so i never experienced hiyo hofu watu waliyokuwa wakiiongelea. I guess ndo maana niko more puzzled na comments zako!
acha mbwembwe content ndio inayo amua unafikiri chuo kitakubeba cku wanaangalia unajua nin sio umesoma wapi na umepata ngapi
ahaaa labda ni wazazi wakoIn what sense Smile? #sijakusoma
ahaaa labda ni wazazi wako
ook kumbe wewe ni class mate?Ah wewe watoto wa Mwende hawakusoma MUCCoBS bana...na mimi nimesoma apo class of 2010. #gettheHint ?????
Mi nlizan unaongelea vile vibinti bana...