Wewe perry acha dharau jua muccobs ni chuo ambacho kipo chini ya sua na hata vyeti vyao hua vinaandikwa sokoine university..acha dharau wenzio wamejikita zaidi kwenye biashara na pia kinafahamika sana.
Sasa udsm na mzumbe vinatofauti gani na sua wewe mana muccobs ni chuo ambacho kipo chini ya sua na pia ni chuo cha serikali..nakufahamisha tu kama ulikua hujui.mi sijasoma hapo ila trust mi inawezekana ni kweli mwaka jana walitoa post kwa graduates asilimia nyingi walitoka muccobs na sasa wapo kazini wanapeta.

Muccobs wanasoma zaidi ya kozi 42,mitihani ya cpa wanakimbiza sana alafu darasani mahudhurio yanachukuliwa,ulizia mama Hellen,dr Mwende,dr Magigi....bila kumsahau engineer Boa
Muccobs wanasoma zaidi ya kozi 42,mitihani ya cpa wanakimbiza sana alafu darasani mahudhurio yanachukuliwa,ulizia mama Hellen,dr Mwende,dr Magigi....bila kumsahau engineer Boa
muccobs wanasoma zaidi ya kozi 42,mitihani ya cpa wanakimbiza sana alafu darasani mahudhurio yanachukuliwa,ulizia mama hellen,dr mwende,dr magigi....bila kumsahau engineer boa
kumbe na wewe ..mama mwende ni noma...wacha waseme ila tunapeta ..hata mimi nipo kwenye taasisi kubwa tu hapa nchini na intake yangu muccobs tulichukuliwa 4 post zilikuwa 10...ofsin tupo muccobs kibao mkuu
Wewe wa wapi chuo kinaitwa moshi university collage of cooperatives and business studies ..unaelewa maana ya and? Coz za biashara kama baf na procurement and supply na nyinginezo zipo pale .sa kama unazani kila anaeenda pale anaenda kusomea ushirika umepotea.