THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,860
- 15,219
Acheni kuwasemanga wachaga km nafas zimetoka hizo ombeni tuh,wachaga wenye kasumba mbata ni wa chadema tuh
Sikatishi mtu tamaa lakini ni lazima vijana tufahamu sote kua sio lazima kuajiriwa.... kujiajiri ni raha... mimi niliomba kaz wee nikaona mmhh solution nijiajir nifwate principle za ujasiriamali then mimi ndio niajiri watu..
Sikatishi mtu tamaa lakini ni lazima vijana tufahamu sote kua sio lazima kuajiriwa.... kujiajiri ni raha... mimi niliomba kaz wee nikaona mmhh solution nijiajir nifwate principle za ujasiriamali then mimi ndio niajiri
huu uzi wa kazi tra jinc ya kuapply na maelekezo mengine ,sio uzi wa kujiajiri huu ..wenzio bado hawajachoka kama wewe ulishachoka acha na wenzio wajaribu bahati zao wakichoka kama wewe watatafuta solution.
Wachagga mkuu,hilo halijavaa hata chupi. Hawa jamaa ni wakabila mpaka inaudhi,ikiwa sambamba na CRDB.
mtu akichoka ku apply atajua cha kufanya. wote humu watu wazima
Wachagga mkuu,hilo halijavaa hata chupi. Hawa jamaa ni wakabila mpaka inaudhi,ikiwa sambamba na CRDB.