TRA watangaza nafasi za kazi

TRA watangaza nafasi za kazi

Una uhakika na usemalo. Mi nawafahamu watu wengi sana zaidi ya mia ambao ni staff wa tra na ni makabila tofautitofauti. Sasa unaposema ukabila una maana gani???
Au pitia kwenye org structure ya tra uone management ilivyokuwa na mchanganyiko wa makabila mbalimbali.
Kama umejikatia tamaa usiwaambukize wenzio please. Just keep quite utaonekana na busara zaidi
 
Msikate tamaa wakuu bahati ya mtu mjaribu God blessed brothers and suster
 
Toa data tukuamini. Vinginevyo unapotosha watu kwa makusudi.
Mi ninawafahamu watu wengi sana ambao si wachaga ni ni tra staff. Mfano:
Commisioner anayekaimu nw bade si mchaga
Kamishina wa forodha si mchaga
Naibu kamishina wa forodha naye si mchaga
Kamishina wa tax investigation si mchaga
Director wa hr si mchaga
Director wa research and policy si mchaga
Director wa finance si mchaga
Director wa internal audit si mchaga
Manager wa dsm wharf si mchaga
And the least goes on.
Ila pia wachaga kuwa wengi tra kuna tatizo gani kama wana vigezo na wamepitia njia sahihi?
au umesahau kwamba si tra tu kuna wachaga wengi ila pia hata katika taasisi mbalimbali za serikali; kwani waliianza kusoma mapema kabla ya makabila mengine??
be agreat thinker.
Wamaotaka kuapply pale watakapokuwa wameona vigezo msitishiwe na maneno ya hapa jukwaani kwamba kuna ukabila.
Acha ukabila ndugu na kuwakatisha tamaa vijana
 
watu wanashindwa kwenye interview afu wanasema wachaga wanapendelewa. TRA hata kama upendeleo upo lakini ukifanya vizuri interview wanakuchukua.
 

hii ndo shida yetu, tunapenda kutafuniwa sana.
nenda ukatafute mwenyewe maadamu maelekezo umeshapewa.

I like this. Mtz anataka umtafunie, umumeze na umnyee pia,yeye katulia tu. Bado tuna kazi ngumu, hao ni wasomi-wataweza hata interviw au watabaki kulia lia wachaga wachaga? Si uwe na wewe mchaga? Au kaolewe na mchaga??
 
nani ameweza kuona required qualifications na experience kule kwenye hizo kazi
 
watu wanashindwa kwenye interview afu wanasema wachaga wanapendelewa. TRA hata kama upendeleo upo lakini ukifanya vizuri interview wanakuchukua.

ni kweli ukiwa na sifa wanakuchukua hata kama haumjui mtu wale ambao gpa zao mbaya ndio wanachakachua huko waingie kwa vimemo
 
[h=2] Assistant Tax Officers[/h]
Purpose of the Job

  • To conduct desk/field audits and report to Tax Auditors.
  • To collect Government revenue and implement enforcement procedures.
Major Activities of the Job
(i) Conduct desk and field audits on presumption cases and other relevant areas.
(ii) Assist in the preparation of action plans on a weekly and monthly basis.
(iii) Conduct physical survey and Block management.
(iv) Prepare weekly/monthly/quarterly/semi-annual and annual reports on assessments
(v) Conduct interviews for new taxpayers.
(vi) Verify assessments manually or by using a computer.
(vii) Prepare the tax positions for all taxpayers and arrears list.
(viii) Conduct face vetting of application for tax exemptions/relief forms, refunds and tax returns.
(ix) Process additional taxes and interest certificates.
(x) Prepare demand letters to tax defaulters and impose collection penalties and follow up payments.
(xi) Vetting of motor vehicle registration documents.
(xii) Renew annual motor vehicle licences, transfers of ownership motor vehicles and issue driving license.
(xiii) Perform other duties assigned by supervisor.

Minimum Job Requirements
Qualification
(i) First Degree or Advanced Diploma in Accountancy, Commerce, Finance, Business Administration, Tax Management, or its equivalent from a recognized Institution/University
(ii) Age Limit: Not above thirty (30) years.
(iii) Post Graduate studies in Taxation or its equivalent from a recognised higher learning Institution will be added advantage.
Key Competencies
(i) Leadership and Team Building
(ii) Strategic Focus and Managing Change
(iii) Managing Performance and Accountability
(iv) Problem Solving and Decision Making
(v) Integrity



[h=2] Assistant Customs Officers[/h]
Purpose of the Job
To ensure the correct declarations of both import and export entries, and correct any anomalies and discrepancies which may affect Government revenue.

Major Activities of the Job
(i) Control all goods being entered into the country.
(ii) Control export and transit goods.
(iii) Conduct documents checking.
(iv) Verify information in refund claims.
(v) Prepare enquiries and offence files.
(vi) Check the classification of goods.
(vii) Assess and value goods.
(viii) Release goods after payment of duties.
(ix) Prepare various returns for Customs & Excise Headquarters.
(x) Provide information for preparation of Management reports (various).
(xi) Conduct the physical verification of goods.
(xii) Perform anti- smuggling patrols.
(xiii) Perform any other duties assigned by supervisor.

Minimum Job Requirements.
Qualification
(i) Advanced Diploma or University Degree in Customs or Taxation or Economics or Finance or Business Administration or Law or its equivalent from a recognized Institution/University.
(ii) Age Limit: Not above thirty (30) years.
(iii) Postgraduate Studies in taxation/Customs or its equivalent, and training in Security matters will be added advantage.

Key Competences
(i) Leadership and Team Building
(ii) Strategic Focus and Managing Change
(iii) Managing Performance and Accountability
(iv) Problem Solving and Decision Making
(v) Integrity.
(vi) Computer Literacy.

GENERAL
Applicants MUST be ready to work anywhere in the United Republic of Tanzania.



[h=2] Assistant Preventive Officers[/h]
Purpose of the Job.
To prevent smuggling and implement customs controls

Major Activities of the Job.
(i) Raise tax assessments in respect of small passengers’ accompanied baggage at Ports, Airports and Border stations.
(ii) Attend to public/customer grievances concerning customs operations.
(iii) Carry out instructions as may be directed by the Preventive Officer.
(iv) Perform preventive duties at Air Port, Sea port, Gates, Customs Warehouse, Transit stations, Dry port and all other Customs contacted areas.
(v) Examination of passenger’s baggage.
(vi) Rummaging of vessels aircraft.
(vii) Perform any other duties assigned by supervisor.

Minimum Job Requirements.
Qualification.
(i) Advanced Diploma or University Degree in Customs or Taxation or Economics or Finance or Business Administration or Law or its equivalent from a recognized Institution/University.
(ii) Age Limit: Not above thirty (30) years.
(iii) Postgraduate Studies in taxation/Customs or its equivalent, and training in Security matters will be added advantage

Key Competences.
(i) Leadership and Team Building
(ii) Strategic Focus and Managing Change
(iii) Managing Performance and Accountability
(iv) Problem Solving and Decision Making
(v) Integrity.
(vi) Computer Literacy.



COMPLETING THE APPLICATION FORM
All applicants are required to properly fill in the application form provided in the system. Please be informed that shortlisting is a machinery process done through the Human resources Information System. Failure to fill in all the fields properly may lead to disqualification.
For assistance on how to fill in the Job Application Form please make use of on line “HELP” available under the Application Form or dial TRA Call Centre Tel: 0800110016 (TTCL & Vodacom), 0786 800000 (AIRTEL) , 0713800333 (TIGO) from 0800 to 1700 Hours Monday to Friday. These are Toll free numbers.


http://196.43.84.184/aruti/job.aspx?ext=7&cc=sKRxEVApfIw=






http://196.43.84.184/aruti/job.aspx?ext=7&cc=sKRxEVApfIw=

 
Wadau,tatizo unataka uki-apply,barua mbili tatu,uitwe,na uajiriwe,watu wanatuma application,hata zaidi ya mia mbili,sehemu tofautitofauti..tambueni wasomi ni wengi kuliko nafasi za kazi.haina haja ya kukata tamaaaaa,mapambano yaendelee,hujui mungu kakuandikia uwe wapi.
 
I like this. Mtz anataka umtafunie, umumeze na umnyee pia,yeye katulia tu. Bado tuna kazi ngumu, hao ni wasomi-wataweza hata interviw au watabaki kulia lia wachaga wachaga? Si uwe na wewe mchaga? Au kaolewe na mchaga??
​umelike bila kugonga kitufe cha like.....HEBU GOOONGA HAPO KWENYE LIKE DOLE GUMBA
 
Back
Top Bottom