TRA wanavyofunga biashara za wazalendo

kulifuatilia hili lalamiko na kutoa maagizo ya kutatua kero hii.

Tunashukuru kwa serikali kufuatilia.
Hayo tunayosema si majungu, ni ukweli kabisa.
Hongera Dr Mpango.
In the long run, TA itaikosesha mapato serikali, kwa jinsi wanavyo disenfranchise walipakodi, hasa wazalendo
 
Walipakodi wanatakiwa kujua kila fedha itokanayo na biashara kuna kodi ya serikali ndani yake wasitumie yote ikaisha.
 
Hayo majibu ya kukariri unayapata TRA mkuu.
Umeulizwa maswali ya kutumia akili unapiga chenga tu!
 
Nmesoma comments za watu wengi humu...nikagundua kama serikali haitakaa sawa kutengeneza partnership na wafanyabiashara basi nchi badala ya kuwa ya wafanyakazi wakulima na wafanyabiashara basi itaenda kuwa nchi itaenda kuwa ni ya wafanyalumumba tu....

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Hayo majibu ya kukariri unayapata TRA mkuu.
Umeulizwa maswali ya kutumia akili unapiga chenga tu!
Kuna siku nilibishana na mtu humu mpaka tukahamia PM, baada ya miezi michache tukawa marafiki, ndio nikajua yuko mwaka wa 3 Udom.
I feel the same smell here
 
U
Kuna siku nilibishana na mtu humu mpaka tukahamia PM, baada ya miezi michache tukawa marafiki, ndio nikajua yuko mwaka wa 3 Udom.
I feel the same smell here
Ulipokuwa unamaliza praimari sisi tayari ni proffessionals.
Nakukumbusha mara nyingine tena dont beat around the bush, jibu hoja.
 
Huyo rafiki yako ameshalipa kodi TRA kiasi gani?
 
Nchi inaendeshwa na wahuni wanaodhani kujua idadi ya samaki waliomo hlbahari ya hindi ndio maendeleo ya nchi....

Ulimbukeni wa hali ya juu sana
 
Nchi inaendeshwa na wahuni wanaodhani kujua idadi ya samaki waliomo hlbahari ya hindi ndio maendeleo ya nchi....

Ulimbukeni wa hali ya juu sana
TRA waundiwe Tume kali ya wataalam hata wa kukodi tokea nje wawahoji wafanyabiashara vizuri kwa umakini mkubwa kubaini udhaifu wa watendaji wa TRA
 
Waziri mipango ongeza idadi hao 22 ni wachache mno, vinara wa kuwabambikia kodi kubwa na kufunga Account za wafanyabiashara wapo ilala na Kinondoni pitia huko utawakamata wengi wapenda Rushwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…