Utakuta mfanyabiashara anafanyiwa ukaguzi mara zote lakini wakija maofisa vinara wa kupenda Rushwa hutengeneza visingizio vya kukagua miaka kumi nyuma wakati Sheria inasema mwisho ni miaka mitano tu, wao hupeleka miaka mingi nyuma wapate kumdai vAT kubwa apagawe achanganyikiwe awape Rushwa kubwa, Hii Tabia mbovu ya kufanya Ukaguzi juu ya ukaguzi wa Awali uliofanywa na wenzao huko nyuma ndiyo mbinu zao za kutengeneza mazingira ya Rushwa, haiwezekana mfanyabiashara akaguliwe hesabu zake na maofisa wa TRA kisha wanakuja wengine wanakagua hesabu zile zile zilikaguliwa na wenzao? Ni kwa nini wasiwaulize wenzao waliokagua awali badala ya kwenda kukagua mara mia mia? Kitengo cha ukaguzi wa hesabu kuna shida kuna mapungufu mengi ndiyo maana maofisa wengi wa vitengo hivyo ni matajiri wakubwa sasa na endapo Takukuru na vyombo vingine wakiamua kuwachunguza mali zao wengi wataishia segerea na keko kujibu tuhuma zao za uhujumu uchumi na Rishwa<kuu hii ni mifano ya kitabuni kama mnavyo fundishwa.
Kwenye biashara kitu ingine kabisa.
Kwanza inaelekea hujui kuwa Witholding Tax si 5% ya total contract price, ni 5% on service and labour!
Biashara ukiikata 5% ambayo ndiyo mark up ya profit, basi unaelekea kuua biashara.
Sasa kama ninyi mnaojiita wahasibu(especially kama uko TRA) hamulielewi hili basi ni majanga!
Pili total aggregate witholding tax (pamoja na provisonal tax) mara zote inazidi 30% on profit katika kukokota Corporate Tax.
Hapo ndio tunaona TRA ikimega Capital ya biashara.
Ushauri wa bure kwa TRA:Tatizo mkuu zipo tahasisi zinakinzana Sana,naungana na wewe mkuu kwamba waofisa wa TRA wote wachungunzwe Mali zao, maana Wana wanakwiba Sana,ita iundwe task force kwa kazi hiyo Lila wilaya tz itakayojumlisha na takukuru,ila wasiachiwe takukuru tu,
Mfano yupo rafiki yangu mwingine alifutwa akapewa notice ya pesa nyingi tu kwamba hakua akilipa kodi vizuri, badae waliyamaliza but sikujua katika mazingira gani,bahada ya hapo huyo afsa wa TRA akaona Kama ni chimbo, anakaa ukifika mda anamfuata, KWA mazungumzo mengine ambayo anayajua
Siku ya siku jamaa akamwambia huyo afsa wakutane sehem apatiwe alichokita, walivyokutana wakiwa wawili, akampa live,kwamba waonekana umezoea na lengo lako naona Mimi na familia yangu tufe,Sasa Sasa kabla hatujafa ,ni lazima utangulie wewe na ndo nilichokuitia hapa ,he jamaa akamuacha hapo afsa akaondoka zake ,mka leo hakuwai tishiwa,na kodi analipa na biashara anafanya vizuri
So kwa Mambo yalivyo KWA Sasa maafsa wa TRA baadhi,pesa inayokwibwa,na inayoingia kwenye mfuko wa serikali, wenda inayokwibwa ni nyingi zaidi
Pili Hawa wanavisa hasa pale usipoenda na matakwa yao binafsi, ndo hayo ya kupewa manotice ya juu kuliko hata mtaji mtu anapewa notice ya m300 kweli ?kwamba nyuma hulikua hulipi kodi vizuri wakati mtaji wa mtu hata m40 hazifiki
Ndio maana unaruhusiwa ku-revise estimate za provisional tax kila quarter kama unahisi final tax will be higher than previous estimatesMfano wa kitoto huu.
Kwani WHT unakatwa wewe mwenyewe tu?, ni watu wote mtu uliofanya nao biashara.
Na si aghalabu kuwa makato mengi(na kwa kweli mara zote) kwamba jumla ya WHT (iliyokatwa kwa kazi husika zote)pamoja na Provisional Tax iliyo katwa inakuwa zaidi-over and above total Corporate Tax payable.
Na hiyo hairudishwi kwa mlipa kodi!
Sasa ukiniajiri kufanya audit service kwa mil.10 sasa hiyo mil 10 si ndio contract price ya hiyo service?.Kwenye biashara kitu ingine kabisa.
Kwanza inaelekea hujui kuwa Witholding Tax si 5% ya total contract price, ni 5% on service and labour!
Biashara ukiikata 5% ambayo ndiyo mark up ya profit, basi unaelekea kuua biashara.
Sasa kama ninyi mnaojiita wahasibu(especially kama uko TRA) hamulielewi hili basi ni majanga!
Pili total aggregate witholding tax (pamoja na provisonal tax) mara zote inazidi 30% on profit katika kukokota Corporate Tax.
Hapo ndio tunaona TRA ikimega Capital ya biashara.
Am shocked!Sasa ukiniajiri kufanya audit service kwa mil.10 sasa hiyo mil 10 si ndio contract price ya hiyo service?.
Na kwanini hukubali kulipa provisional tax kubwa kuliko uhalisia, kumbuka provisional tax ni zao la self assessment , na hata hiyo self assessment ikiwa adjusted na TRA unaruhusiwa ku-appeal
Huku usilete mambo ya shule. Hakuna mahali nimesema watu wanakadiriwa VAT. Kilichopo ni kwamba wafanyabiashara wengi wanailipa hiyo VAT kutoka kwenye mauzo yao kutokana na kutokuwepo na wateja wenye uwezo wa kulipa VAT (less purchases power) ambao ni wengi.Ndio maana binafsi naona ni busara wafanyabiashara kutumia accountants ninacho ona hapo ni vice versa.
Kodi ya VAT ndio inaweza kadiriwa not profit tax, kwanini?
VAT ni kodi ya mlaji, mfanyabiashara anakusanya tu kwa niaba ya TRA anapouza bidhaa na asipouza awezi lipa. To explain it in full how it works is not complex ila maelezo mengi kuandika. Kwa kifupi kuna vitu kadhaa vinatakiwa kuwa kwenye invoices hayo maelezo yatakuwa kwenye sheria na utunzaji wa kumbukumbu hilo ndio la msingi kuelewa.
Sasa VAT inakadiriwa vipi mara nyingi ni kwenye accrual accounting. Kuna wafanya biashara wanauza on credit anaweza kutoa invoice ya mauzo leo ila akalipwa baada ya mwezi as far the as the taxman is concerned the ‘tax point’ ya mauzo inakuwa siku uliyotoa invoice ata kama ujapokea malipo kwa ivyo tarehe ya malipo ya VAT ikifika inabidi ulipe hiyo output tax. Namna nyingine ya kujikadiria unaweza fanya estimates wewe mwenyewe unadhani utauza kiasi gani ndani ya mwezi ili ulipe au kutumia previous year sales kukadiria malipo kama ni mfanyabiashara unae trade zaidi ya mwaka either way mwisho wa mwaka kama umelipa zaidi unadai na kama pungufu wanakudai.
Ikitokea mtu ka default malipo utadai baadae, hizo schemes nchi za wenzetu mara nyingi zinakuwa kwa wafanyabiashara wakubwa sio wadogo hawa wana option ya kutumia cash accounting wakitaka ili wasipate risk za cash flow kwenye kuendesha biashara.
Income tax uwezi kadiriwa utalipa kodi kutokana na faida iliyopatikana tu na kuna utaratibu tofauti kwenye ulipaji wake depending on the legal status of the business. Mfano mtindo wa deferred taxation mara nyingi ni kwa faida za wafanyabiashara were capital allowance is considered an expense, watu wanaweza kugawa huo msahama kwa miaka kadhaa ili kupunguza malipo ya kodi kila mwaka badala ya kutumia msamaha wote kwa mwaka mmoja.
Apparently post yangu ujailewa and it wasn’t that technical nimeelezea tu jinsi utaratibu ulivyo kwenye ulipaji wa VAT, sasa kama wewe unaelewa vingine sawa pia.Huku usilete mambo ya shule. Hakuna mahali nimesema watu wanakadiriwa VAT. Kilichopo ni kwamba wafanyabiashara wengi wanailipa hiyo VAT kutoka kwenye mauzo yao kutokana na kutokuwepo na wateja wenye uwezo wa kulipa VAT (less purchases power) ambao ni wengi.
Ukiacha mambo ya darasani huku duniani iko ivi... kuna wafanyabiashara waliosajiliwa VAT na ambao hawajasajiliwa wako mtaa mmoja na wanafanya biashara aina moja na wanategemea mteja aina moja. Tofauti ya bei baina yao ni 18% tabiri nini kitatokeaApparently post yangu ujailewa and it wasn’t that technical nimeelezea tu jinsi utaratibu ulivyo kwenye ulipaji wa VAT, sasa kama wewe unaelewa vingine sawa pia.
Nikirudi kwenye hoja yako mfanyabiashara awezi ilipa VAT kwa niaba ya mteja, sema labda aitozi VAT kwenye mauzo yake kutokana less purchasing power.
Sasa kama wewe umesajiliwa as taxable person na TRA una claim input VAT tax ukifanya ivyo jua unavunja sheria na wakija ni wewe ni halali yao.
Pili kama ujasajiliwa ila mauzo yako yanavuka 8.33 halafu utozi VAT ndugu wakija wakibaini hayo umejitafutia makosa makubwa zaidi sio kwamba watarudi nyuma tu kwa mujibu wa sheria kukudai kodi zao, utapigwa na fines za kufa mtu.
Nchi zingine unaenda jela na kama kuna account alikuwa anakusaidia kudanganya si ajabu mka share cell moja huko gerezani, ni kosa kubwa sana kisheria.
Tax is voluntary ila ukivunja sheria na kujifanya mjuaji siku ukinaswa ndio utatia akili.
Tatizo lenu ni kujijengea dhana potofu. Hakuna mambo ya kwenye vitabu kwenye accounts it’s just how things work.Ukiacha mambo ya darasani huku duniani iko ivi... kuna wafanyabiashara waliosajiliwa VAT na ambao hawajasajiliwa wako mtaa mmoja na wanafanya biashara aina moja na wanategemea mteja aina moja. Tofauti ya bei baina yao ni 18% tabiri nini kitatokea
Na kama ukinunua kwa suppler ambae hayupo registered nn kitatokeaTatizo lenu ni kujijengea dhana potofu. Hakuna mambo ya kwenye vitabu kwenye accounts it’s just how things work.
Usipokuwa registered still utanunua kwa supplier ambae atakutoza input tax, same na yule aliejisajili.
Tofauti yenu aliejisajili anaweza idai input tax, wewe uwezi.
Kwa ivyo kwenye kuuza aliejisajili anatoa input tax 18% aliyolipia kwenye kununua kwa sababu anaongeza faida yake kwenye bidhaa then ana charge 18% output VAT.
Usipojisali uwezi uwezi toa 18% input VAT kwa ivyo utaongeza profit margin zako on top of that; ngoma draw na aliejisajili kwenye bei zenu.
The only utakuwa cheaper ni kama bidhaa zako unapotoa ujalipa output tax. Tatizo lenu ni ujuaji TRA ni tatizo atukatai but ignorance is also a contributing factor kwa wafanya biashara.
Unaonekana una ufahamu ata booking keeping (ledger), sasa sijui record zako unatunza au VAT accounts record zako unatengeza vipi.
Get an accountant have no time to entertain meaningless discussions.Na kama ukinunua kwa suppler ambae hayupo registered nn kitatokea
jombaaa... nakwambia hapa hapa mjini kuna maduka tunashindwana bei na wanakupa reference kwenye duka lao jingine kwa bei unayoitaka.Tatizo lenu ni kujijengea dhana potofu. Hakuna mambo ya kwenye vitabu kwenye accounts it’s just how things work.
Usipokuwa registered still utanunua kwa supplier ambae atakutoza input tax, same na yule aliejisajili.
Tofauti yenu aliejisajili anaweza idai input tax, wewe uwezi.
Kwa ivyo kwenye kuuza aliejisajili anatoa input tax 18% aliyolipia kwenye kununua kwa sababu anaongeza faida yake kwenye bidhaa then ana charge 18% output VAT.
Usipojisali uwezi uwezi toa 18% input VAT kwa ivyo utaongeza profit margin zako on top of that; ngoma draw na aliejisajili kwenye bei zenu.
The only utakuwa cheaper ni kama bidhaa zako unapotoa ujalipa output tax. Tatizo lenu ni ujuaji TRA ni tatizo atukatai but ignorance is also a contributing factor kwa wafanya biashara.
Unaonekana una ufahamu ata booking keeping (ledger), sasa sijui record zako unatunza au VAT accounts record zako unatengeza vipi.
Thats napendekeza utaratibu wa kuunda au kutengeneza namna bora ya tahasisi hii muhim kwa TAIFA ,maafisa TRA Baadhi wanakwiba Sana na ikiundwa task force ya kuwachunguza tutashangaa , pia zipo sheria za kodi zilizotungwa za mafain makubwa nazo zimewaongezea minya ya Kutumia vitisho ili kutengeneza mianya ya kukwiba,Ushauri wa bure kwa TRA:
Achana kabisa na madai ya malimbikizo ya fine mbalimbali mtauwa Biashara nyingi ba wenye Nazi.
Hakuna mtanzania asiye juwa umuhimu wa kulipa kodi kwa maendeleo ya nchi, toeni elimu stahiki kwa walipa kodi wote, kisha anzia hapo kutoza kodi stahiki na jengeni mahusiano mazuri( mutual partnership) na walipa kodi , watu watalipa kodi na msihangae mkavuka malengo.
Ila mkiendelea na huu utaratibu wa kutengeneza mazingira ya misongo na misononeko miongoni mwa wafanyabiashara kwa kuwapiga kodi ambazo hazilipiki, mstakabali wa uchumi wa nchi na uzalendo wa raia kwa nchi yao utakuwa mashakani.
In other words kuna tax fraud or else hilo aliwezekani.jombaaa... nakwambia hapa hapa mjini kuna maduka tunashindwana bei na wanakupa reference kwenye duka lao jingine kwa bei unayoitaka.
ukiwa mjanja ukikuta bei igawanye hiyo bei kwa 1.18 then mwombe akupe duka dada la hiyo bei ..
sometimes unapewa mtu na mzigo wako unaenda kupewa risiti kwenye duka dada.
upo hapo
Haya ndiyo mateso yenyewe kwani tokea nyuzi za kuwalalamikia TRA zipambe moto week yote hii hajasikika Mkurugenzi wa TRA kuweka mambo sawa, kwa maana ingine pengine yeye ndiyo huwatuma wafanyakazi wake kulazimisha kodi zisizo na kichwa wala miguu kwa wananchi wa TanzaniaMaagizo kutoka juu kwa Zanzimana , I we jus iwe mvua , una deni huna lazima ubambikwe kodi ili makusanyo yaongezeke , lakini wapi nothing to collect .
Nimefuatilia maelezo yako mwanzo Hadi nimepata kitu.In other words kuna tax fraud or else hilo aliwezekani.
Kama ni biashara za ndani mzalishaji ana production costs zake ambazo awezi uza chini ya hapo na output VAT inaanzia kwake.
The only way bidhaa za mtu huyo zinaweza kuwa cheap kwenye retail from one person to another labda kama kuna sehemu ya finished inventory zinauzwa bila ya kulipia kodi (again mfanyabiashara kama huyo akishikwa wakujilaumu ni yeye mwenyewe).
Na kama TRA ni wakaguzi makini they can trace that chain all the way back ndio maana invoices zinatakiwa kuwa na info kadhaa (hizi ndio sababu wengine wanashindwa kuona uwezo wa waziri wa afya Gwajima ukimsikiliza unaona pale kuna kichwa kweli kweli, the woman knowledge is just broad).
Pili kama ni bidhaa za importation kuna supplier alipi VAT zake bandarini au sehemu ya mzigo wake na huo ndio unasambaa kwa watu wake or else it is impossible.
Unless in scenarios where products have been purchased at clearance prices from the supply chain or kuna cheap imitations za magendo.
Time to run errands mchana mwema.
Hawezi kuwa na utaalam wowote huyo “Tax Consultant”.Am shocked!
Mkuu uko off na ni Tax Consultant!
Hili kosa TRA wanalifanya sana.