Hongera sana. Kuna maswali ya yanayohusu tabia za ndani za mtahiniwa na kuna maswali yanayohusu nafasi unayoomba. Lakini pia kuna maswali yanayohusu uelewa wa kazi unayoitaka na pia maswali mengine yanahusu kile ambacho unapaswa kukifanya ktk nafasi yako kazini! Maswali hayo kwa ujumla ni:
1. Knowing about yourself
2. Knowing about the job position
3. Knowing about your strengths
4. Knowing about your weakness
5. Knowing about the your value
6. Knowing about your growth focus
Hongera sana.

Prakatumba nijuze,hii ni vita mkuu!!

Habari za jioni wadau??
TRA wameanza kuita watu kwenye usaili!!
Nimepokea mail toka kwao,wakiniomba nikachape usaili wao tarehe 12/12/14!
Post ya kazi ni Assistant Tax Officer!!
Vitu vya kwenda navyo siku ya interview ni
1.Barua ya kuitwa kuhudhuria usaili!
2. Picha mbili za passport size!!
3.Vyeti Original
4. Cheti cha kuzalia
5. Kikokotozi!
Naombeni msaada wenu pls! Maswali yanakuaje,maana kabla ya kwenda vitani,mchunguze kwanza adui yako anatumua zana zipi za maangamizi!!
hakuna kazi mbovu kama hiyo。bora urudi.kijijin kulima