Oya mwana be serious majina wametoa wapi tujione kama tupo!Habari wadau, poleni na majukumu, hatimaye TRA wameanza kuita watu kwa usaili utakaofanyika tarehe 11 bunju Ilipo NBAA
Du Leo cku imeisha ntapigiwa kweli?Wanapiga simu mdogo wangu kapigiwa simu jana mchana na mdada mmoja anaitwa betty wa TRA.
Mmeita Post gani?Posts gani?
Sina hakika na hizo post kwa sababu zilitoka baadaye, hizi walizoanza kuwapigia watu ni zile zinazo anza na assitant tax officer, assistant preventive officer, assistant customs officer hizi zilitoka mwaka janaMie niliomba preventive assistant nayo wameita?
Kuna mtu kaitwaaMie niliomba preventive assistant nayo wameita?
Mambo Perry!one man down
teh teh teh.mkuu hapa me mwenyewe nilitegemea kuitwa ila naona chenga tu,yani naona kama vile nimeishapigwa chini kama rafiki yako perry.Mmeita Post gani?