Watasema ni baruti za kupasulia miamba.
Hivi Tarime kuikataa CCM si haki ya Kikatiba ? Mbona upande mwingine wa Tanzania umevikataa vyama vya Upinzani na hakuna shida ? Haya pelekeni Gaka na AK 47 then muone majibu yake .
Ni kweli ni baruti za kupasulia miamba! Barrick hawawezi kuingiza silaha kwa ajili ya kupambanana wananchi wakati polisi wapo wanawalinda!
Tusikuze mambo bila kuwa na uweli wa jambo lenyewe! Hao maofisa wa TRA wana utalaamu gani wa kutofautisha kati ya baruti la kupasulia miamba na mabomu ya kutupa kwa mkono?
Hii sekta ya madini inachafuliwa sana kwenye vyombo vya habari. Ni mara chache sana kukuta inazungumziwa on the positive side!
Kama ni udhaifu wa mikataba mibovu iliyopo ni wa serikali yenu na viongozi wenu wanaokurupuka kusaini mikataba bila ya kuipitia kwa makini! Ni mwekezaji gani atawekeza sehemu isiyokuwa na tija?
Do they care about local people!? Kama mikataba yenyewe mingine inafanyika kwenye hotel Lobby what do u think? yaani hayo makampuni ya kigeni na pamoja na viongozi wa Tanzania hawajali mtu, kinachojaliwa ni pesa tuu.Ndugu zangu naomba unieleweshe, maana mimi sielewi how can Barrick have contract in nyamongo kuchimba madini while life standard ya local people inadidimia?
In western country there is no company/organization will ever do any activities (mining, development) without socio-economic and environmental impact assessments (Does Tanzania government request these assessments before signing contracts with hawa majamaa) and if so where are those reports? Do the public have a voice on them?
I understand Tanzania economy isnt that good and we need foreign investors but we cant keep accepting them in our country while they dont do us any good, if you weigh the advantages and disadvantages of their activities in our mines what weigh much? They destroy our lands, culture, environment, increase crime rate and even take the land of locals and what they really give us is temporary jobs!
Mining are variable assets in a country, and Tanzania has to know that and cherish them, mining are like oil, the good control of them can be a good development of a country. Lets start give miners conditions in-order to get those mining, things like improvement of power and water supply to the areas that they want to mine should be priorities.
Our Government should start acquiring sustainable development policies in its law as well as policies sio kuwapa watu contract with no care of long term disadvantages of the country. Have anyone ever say anything/ conduct a reaserch on how much these mining activities and ammunition they use in mining have effect on our people and environment?
Would Barrick just go to a developed country and start mining without a plan to improve local people conditions?
Do they care about local people!? Kama mikataba yenyewe mingine inafanyika kwenye hotel Lobby what do u think? yaani hayo makampuni ya kigeni na pamoja na viongozi wa Tanzania hawajali mtu, kinachojaliwa ni pesa tuu.
Halisi,
Imekuwaje makampuni ya Tanzania yanaajiri walinzi kutoka nje ya nchi? Hivi hatuna uwezo hata wa kutoa walinzi?
Tunalalamika vijana wetu hawana ajira huku kazi zinaenda kwa wageni?
Inabidi waandishi wa habari muanze kuyavalia njuga haya mashirika yanayoajiri wafanyakazi wa nje hata kwa kazi ambazo Watanzania wanaweza kufanya.
Hilo la mabomu kali.