Papy ndombe
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 3,761
- 4,559
Elimu, afya Bora, miji, mabarabara, viwanda, mashamba ajira zilikuwa tele, biashara kilimo vililipa mkoloni hakuwa na shida na mwafrika kumiliki mali wapo weusi wengi tu walimiliki Mali bora tu ulipe Kodi Nyerere aliwakataza watanzania kumiliki Mali na kuzitaifisha kwa kuwaaminisha umasikini ndio uzalendo.maendeleo yepi alikuletea mkoloni, nna mashaka na elimu yako hasa upande wa somo la historia
Tungekuwa second world check South Africa,Tumechelewa Sana Ndugu Zangu
Sikweli wanaoweka magodown ni wakulima wanaifadhi ili wanasubiri bei zipande, mipunga ni ya wakulima hapo serekali inataka kuwazulumu wakulima watu wakimbili wapi.Mkuu hivi unawafahamu wakulima kweli?Wakulima huuza mazao yao wakati mwingine yakiwa bado shambani.Hao wanaotunza stock ya mazao ni wafanya biashara au wachuuzi wa mazao.Mfano kule Kahama kuna wafanyabiashara wakubwa wanama godown ya kuhifadhi mpunga hata miaka mitatu wakisubiri bei ipande.
Wakulima wengi hawawezi kuwa na uwezo huo wa kuvumilia bei ipande
Unanifurahisha sana kama ajira zilikuwa tele mbona leo kwao wana tatizo la ajiraElimu,afya Bora,miji,mabarabara, viwanda,mashamba ajira zilikuwa tele, biashara kilimo vililipa mkoloni Hakuwa na shida na mwafrika kumiliki Mali wapo weusi wengi tu walimiliki Mali bora tu ulipe Kodi Nyerere aliwakataza watz kumiliki Mali na kuzitaifisha kwa kuwaaminisha umasikini ndio uzalendo.
Tafuta historia halisi achana na sumu tulizopandikizwa kuhusu wakoloni kwa maslai ya watawala walioaminisha watu tutakuwa zaidi kumbe wakaturudisha nyuma zaidi.Tuna KILA kitu lkn wameshindwa kubadili maisha ya watz.
Vipi hutaki wakulima walipe kodi au unataka?Elimu,afya Bora,miji,mabarabara, viwanda,mashamba ajira zilikuwa tele, biashara kilimo vililipa mkoloni Hakuwa na shida na mwafrika kumiliki Mali wapo weusi wengi tu walimiliki Mali bora tu ulipe Kodi Nyerere aliwakataza watz kumiliki Mali na kuzitaifisha kwa kuwaaminisha umasikini ndio uzalendo.
Tafuta historia halisi achana na sumu tulizopandikizwa kuhusu wakoloni kwa maslai ya watawala walioaminisha watu tutakuwa zaidi kumbe wakaturudisha nyuma zaidi.Tuna KILA kitu lkn wameshindwa kubadili maisha ya watz.
Kama wewe unalima kitunguu Mang'ola Karatu na kila siku unapitisha fuso zimebeba mzigo wako kwenda Kenya, fuso zinachimba barabara na watu mnataka lami katika barabara hiyo, unategemea nini?
Huoni wizi unataka kumkamua maziwa ng'ombe ambaye amekonda sosaadi ruzuku kwa wakulima zimeondolewa mazao yameshuka bei sasa mipunga tutaweka majumbani magodauni yatakua tupu tuonewa taenda kuchukua kodi wapiKama ni shamba la uwekezaji na kuna wafanyakazi walioajiriwa,huyo mwekezaji anastahili kulipa kodi kwani litakuwa linaingiza mapato.
Halafu issue ya kodi hata mkulima anatakiwa kulipa kodi ili mradi tu awe anaingiza mapato.
Hapo nipo pamoja na TRA.
Wajitahidi kutoa elimu ya kutosha ya kodi na kubuni vyanzo rafiki vya kodi ili tuinue uchumi wetu.
unanifurahisha sana kama ajira zilikuwa tele mbona leo kwao wana tatizo la ajira
vingi ulivyo orodhesh hapo viliwezekan kwa sababu ya uchache wa watu.
barabara zilikuwa chache sana nazo zilienda maeneo ya uzalishaji hivyo hivyo kwa afya na elimu
sera za ujamaa ndio ziliambatana na uporaji wa mali ila sera zina faida pia leo hii ardhi ingemilikiwa na mo na manji tu tz nzima
Hakuna mkulima au mtu yeyeto nchi asiyelipa Kodi.Vipi hutaki wakulima walipe kodi au unataka?
Mpaka wasafisha Kucha na KopeBado shoe shiners, wasubiri kugongewa milango na TRA
Msamaha aliopewa mkulima ni kutozwa ushuru kwa mazao yake chini ya tani moja tu, zaidi ya hapo ushuru kama kawaida mkuu kwani haiwezekani zaidi ya hapo bado tumwite ni mkulima mdogo.Uoniwizi unataka kumkamua maziwangombe ambaye amekonda sosaadi luzukukwawakulima zimeondolewa mazaoyameshuka bei sasa mipungatutaweka mjumbani magodauni yatakua tupu tuonewataendakuchukuakodiwapi
OkHakuna mkulima au mtu yeyeto nchi asiyelipa Kodi.
Ni kweli wengi wanaogopa sasaasi muda watu wataacha kuweka hela benki
Mkuu denooJ ,sisi wenye beareu de change tulipolalamika kwa kuvamiwa na mitutu kama maharamia, Watanzania walisema sisi tunastahili kwa kuwa eti ni wezi.Hawa TRA wanapoelekea sasa ni too much, watu wataogopa kufanya kila kitu nchi hii mbona uchumi utakufa kabisa, na pesa zao wataondoa benki.
Serikali wanavyofanya ni unyan'ganyi, mnawatisha sana hawa watu.