Wanajamvi nawasalimia Waungwana.
Kwenye pitapita yangu nimekutana na hii Habari ya TRA kutumia mfumo wa simu za mkononi kulipia kodi za magari.
Kwa kweli nawapongeza sana kwa hatua hii muhimu ambayo imechelewa. Wafanyakazi wa TRA, Police na Vishoka mmetutesa sana kwa hili la kodi za magari. Sasa kilichobaki hatutaki usumbufu Barabarani. Waunganisheni polisi wawe wanaona ukweli wasifanye kazi kwa hisia.
Pia TRA toeni namba tutakayoitumia kuwatumieni sms ya wala rushwa wakubwa kwenye ofisi zenu.
Wadau naomba niwashirikishe kwa kiambatanisho hapo chini. Nawasilisha.