kijana mgumu
Member
- Jan 26, 2013
- 48
- 15
Mm mwnyw leo nmepgiwa cm leo asubuhi wanaita kwny interview then wanatuma email ila mm email bado hawajani2mia,sku ya kuenda unaenda na hiyo barua utakayotumiwa kwa email. wana jf naomba maombi yenu maana kitaa nipagumu mno wa2 tumechoka balaa!
be patient utatumiwa hawana longolongo haomkuu,mimi mwenyewe wamenipigia leo mchana na wameniambia hivyo hivyo kuwa watanitumia email na niiprint hyo barua ila hadi sasa naingia net sioni kitu,inakuaje sasa?
Ivi maswali yanakuagaje hawa jamaa. Na mi nimeitwa pia. Nipeni hongera
Usisahau calculator! sjajua upande wa hiyo post mm mwezi wa pl nilifanya interview ya assistant tax officer ilikuwa nyepesi sana tatizo pale kunakufahamiana sana.
Ha ha ha,haya hongera
location/venue imebadilika kwenda DUCEMsaaada, hivi Hapo
PTA KARUME HALL SABASABA unapanda magari gani ili kufika hapo. Location
please