nyumbatatu
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 1,076
- 938
Inakuwaje ripoti ya mwanzoni mwa mwezi September inataja mapato ya mwezi wote wa September?.TRA imesema imekusanya jumla ya Sh3.65 trilioni kwa kipindi cha robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2017/18 kuanzia mwezi Julai hadi Septemba.
Makusanyo hayo ni sawa na ukuaji wa asilimia 1.2 ikilinganishwa na makusanyo ya kipindi kama hicho kwa mwaka wa fedha 2016/17.
View attachment 606231