Sasa wataverify vipi kama umeacha kufanya biashara? Ukiandika barua then ukaendelea kupiga business inakuwaje?unaandika barua siku uliyoacha biashara
ili wasikudai kodi ukiwa haufanyi biashara
Sasa wataverify vipi kama umeacha kufanya biashara? Ukiandika barua then ukaendelea kupiga business inakuwaje?
Jambo la pili, say uliacha kufanya biashara tangu mwezi January harafu ukaibukia TRA mwezi huu, watakubali kirahisi kutokukudai returns za toka kipindi hicho?
Thank you brother.Nilienda kufunga biashara
Matumizi ya TINJuzi nilienda TRA nikashangazwa na idadi kubwa
ya wafanyabiashara waliopeleka barua TRA za kufunga biashara
Nikawa najiuliza je idadi hali nchi nzima ikoje?
inaweza kulinganishwa na mwaka jana au juzi?
ongezeko la asilimia ngapi?
Je wanaokwenda kuomba TIN no na wanaofungua biashara
idadi imepungua ? kwa asilimia ngapi?
Hizi taarifa kama TRA watakuwa wakweli zinaweza saidia kujua
'hali halisi ya uchumi wetu'
Kama kuna watu wa TRA humu tunaomba mtusaidie hizi taarifa
The Boss naona tuanze na takwimu za kwako! unaposema " idadi kubwa" ni wangapi na ni ofisi ipi ? Baada ya hapo tunaweza kupata picha kidogo. Je hiyo "idadi kubwa" ni wote walikuwa wanafunga biashara au walikuwa na shughuli nyingine hapo ofisi ya TRA ?Juzi nilienda TRA nikashangazwa na idadi kubwa
ya wafanyabiashara waliopeleka barua TRA za kufunga biashara
Nikawa najiuliza je idadi hali nchi nzima ikoje?
inaweza kulinganishwa na mwaka jana au juzi?
ongezeko la asilimia ngapi?
Je wanaokwenda kuomba TIN no na wanaofungua biashara
idadi imepungua ? kwa asilimia ngapi?
Hizi taarifa kama TRA watakuwa wakweli zinaweza saidia kujua
'hali halisi ya uchumi wetu'
Kama kuna watu wa TRA humu tunaomba mtusaidie hizi taarifa
Je hao walikua wafanya Biashara ama wakwepa Kodi ?Juzi nilienda TRA nikashangazwa na idadi kubwa
ya wafanyabiashara waliopeleka barua TRA za kufunga biashara
Nikawa najiuliza je idadi hali nchi nzima ikoje?
inaweza kulinganishwa na mwaka jana au juzi?
ongezeko la asilimia ngapi?
Je wanaokwenda kuomba TIN no na wanaofungua biashara
idadi imepungua ? kwa asilimia ngapi?
Hizi taarifa kama TRA watakuwa wakweli zinaweza saidia kujua
'hali halisi ya uchumi wetu'
Kama kuna watu wa TRA humu tunaomba mtusaidie hizi taarifa
Utaratibu wa kufunga biashara upoje chief?
...Atakayethubutu kutoa takwimu hizo basi ataitwa mchochezi na cha mtema kuni atakiona. Ni Serikali dhalimu inayoendeshwa kwa vitisho na .
Fafanua zaidi kwa faida ya wengi maana wengi wanajua ni kwenda TRA na kutoa taarifa tu ili jamaa wasiendelee kukupigia mahesabu yaoUtaratibu wa kufunga biashara ni wa kisheria si kwenda TRA tu
juzi nilikuwa mkoa Fulani, watu walio waandikia TRA kuwa wanafunga biashara ni wengi kwelikweli. Hali ni ngumu sana.Bank nyingi siku hizi hazina wateja, bado kidogo matawi ya mikoani yatafungwa.Wewe ulienda kufanyaje? Tuanze nawe kwanza
Bank lazima walie walikuwa wanaringia fedha ya serikali JPM kazirudisha BOTjuzi nilikuwa mkoa Fulani, watu walio waandikia TRA kuwa wanafunga biashara ni wengi kwelikweli. Hali ni ngumu sana.Bank nyingi siku hizi hazina wateja, bado kidogo matawi ya mikoani yatafungwa.
The Boss naona tuanze na takwimu za kwako! unaposema " idadi kubwa" ni wangapi na ni ofisi ipi ? Baada ya hapo tunaweza kupata picha kidogo. Je hiyo "idadi kubwa" ni wote walikuwa wanafunga biashara au walikuwa na shughuli nyingine hapo ofisi ya TRA ?