The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,666
Juzi nilienda TRA nikashangazwa na idadi kubwa ya wafanyabiashara waliopeleka barua TRA za kufunga biashara.
Nikawa najiuliza je idadi hali nchi nzima ikoje?
Inaweza kulinganishwa na mwaka jana au juzi?
Ongezeko la asilimia ngapi?
Je, wanaokwenda kuomba TIN no na wanaofungua biashara idadi imepungua? Kwa asilimia ngapi?
Hizi taarifa kama TRA watakuwa wakweli zinaweza saidia kujua 'hali halisi ya uchumi wetu'
Kama kuna watu wa TRA humu tunaomba mtusaidie hizi taarifa.