TRA, Soko la Mwanjelwa Mbeya hawatoi risiti EFD

jojipoji koromije

JF-Expert Member
Mar 22, 2017
991
1,412
Soko la mwanjelwa mkoani Mbeya ni kama Soko la Kariakoo kwa Dar es Salaam!! Ni kama Business District. Biashara ya mabilioni ya Shilingi inafanyika hapa kilasiku! Lakini kwa uchunguzi wangu wafanyabiashara hawa hawatoi kabisa risiti za EFD!

Nimeingia sokoni hapo zaidi ya Mara tatu kufanya manunuzi hawa jamaa utadhani hawajawahi kuambiwa wanapaswa kutoa risiti hizi. Ni aibu kwa TRA na Serikali kushindwa Kukusanya kodi kwenye biashara za mabilioni hapa MWANJELWA na kung’ang’ania kuwawekea TOZO kali kwenye Miamala ya simu wananchi wa kawaida kabisa wasio na kipato!

Serikali na bunge mmekosa ubunifu kabisa wa kukusanya kodi halali kabisa na mmebaki kumkaba kabali ya MBAO mwananchi Masikini.

Acheni hizo, futeni hayo matozo fuatilieni kodi halali zinazopotea bure hapa MWANJELWA Mbeya, Tunduma na Kariakoo.
 
Tanzania hii kama Kuna Kodi inakusanywa inaweza isifike hata 30% ya Kodi inayostahili kwa kila mwezi husika.

Hadi bandarini pale ni wizi mtupu halafu viongozi wanawaza kuweka Kodi ya uzalendo ili kugharamia chanjo ya covid kisa tu hawatakusanya wao Bali wenye makampuni ya simu.

Hakuna watu wenye kukaa na kuwaza njia nzuri za kuboresha ukusanyaji wa Kodi kwa Sasa.
 
Tanzania hii kama Kuna Kodi inakusanywa inaweza isifike hata 30% ya Kodi inayostahili kwa kila mwezi husika.

Hadi bandarini pale ni wizi mtupu halafu viongozi wanawaza kuweka Kodi ya uzalendo ili kugharamia chanjo ya covid kisa tu hawatakusanya wao Bali wenye makampuni ya simu.

Hakuna watu wenye kukaa na kuwaza njia nzuri za kuboresha ukusanyaji wa Kodi kwa Sasa.

Umeongea fact!! Sijui hawa wasomi wa uchumi wanawaza nn!! Maana hata mimi ni msomi wa Master!! Kinachonikera hata hilo li Waziri la fedha sio libunifu!! Yaani alipaswa kuangalia sehemu zote za wazi na halali za kukusanya kodi kama wame meet hata 80% ili waje waseme wamekusanya ila bado wana gap!! Lakini bad enough hawakusanyi halafu wanakuja na mambo ya kipuuzi!! Nahisi wanataka kumharibia Mama Samia aonekane hafai!! Huo mchongo wa kumharibia Mama hata Mzee wa Kongwa yumo!!
Naomba Mama aitume TRA ikakusanye kodi halali kabisa ikifanikiwa hata kwa 60% Tozo itakuwa haina maana.
 
hao n wakinga tena angalia wasikusikia n Watu wa mauza uza hao kuwa makin Unaweza kuta mdomo Uko kisogoni Nko serious mkuu

Unapoliponya Taifa Uchawi hauna nafasi!! Watalogana wao!! Tupambane kumuokoa Mama samia!! Watu wake wanampeleka Kibra kwa nguvu sana!! Mama afute hii Tozo ya Miamala na asifuate taratibu za bunge katika kufuta Tozo hii!! Mama hata Ndugai anamzunguka! Then aagize TRA wakusanye Kodi halali kwa lazima!! Mama tumuokoe kwa nguvu zote kutoka kwenye Mdomo wa Mamba. Ana nia nzuri sana kwa Taifa hili Ila wanaomzunguka wanataka kummaliza. Hatukubali!!!
 
Back
Top Bottom