mapenz matam
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 214
- 262
Wataita vijana wangapi mkuu? Halafu wanahitajika wangapi?Habarini wakuu mlioko nyumbani TZ, TRA imeanza kuita vijana kwaajili ya usaili tar 18 JUNE 2016 pale chuo cha kodi dar. so kaeni karibu na simu zenu. post ni za office assistants nawatakieni kila la kheri vijana. ila mkafanye kazi kwa kujituma zaidi na siyo wiz wiz. komaeni tuko pamojaa.
Office Assistant wa TRA analipwa mshahara kiasi gani?Habarini wakuu mlioko nyumbani TZ, TRA imeanza kuita vijana kwaajili ya usaili tar 18 JUNE 2016 pale chuo cha kodi dar. so kaeni karibu na simu zenu. post ni za office assistants nawatakieni kila la kheri vijana. ila mkafanye kazi kwa kujituma zaidi na siyo wiz wiz. komaeni tuko pamojaa.
kama vile sijaelewa wanaenda bila maombi au wanaitwa watatolewa pale paleHabarini wakuu mlioko nyumbani TZ, TRA imeanza kuita vijana kwaajili ya usaili tar 18 JUNE 2016 pale chuo cha kodi dar. so kaeni karibu na simu zenu. post ni za office assistants nawatakieni kila la kheri vijana. ila mkafanye kazi kwa kujituma zaidi na siyo wiz wiz. komaeni tuko pamojaa.
kama vile sijaelewa wanaenda bila maombi au wanaitwa watatolewa pale pale
Office Assistant wa TRA analipwa mshahara kiasi gani?
ni ngumu kujua mkuu maana hata kwenye website hawajatoa ula wanapigiwa simu tuuWataita vijana wangapi mkuu? Halafu wanahitajika wangapi?
Ok.. We umeshaitwa?ni
ni ngumu kujua mkuu maana hata kwenye website hawajatoa ula wanapigiwa simu tuu
Mkuu sasa hivi upo wapi?hawa mkuu walishaomba zamani saana nakumbuka bado nikiwa bongo mdogo wangu aliomba ilikuwa mwaka jana . hawakuweka exactly post ngaapi wao waliandika kwa ujumla office assistants
poahawa mkuu walishaomba zamani saana nakumbuka bado nikiwa bongo mdogo wangu aliomba ilikuwa mwaka jana . hawakuweka exactly post ngaapi wao waliandika kwa ujumla office assistants
Mshahara sio siri watanzania sisi hatarimshahara ni siri ya mtu mkuu
Daily Newswalizitangaza lini na kwenye chombo gani cha habari?
Habarini wakuu mlioko nyumbani TZ.
hawa mkuu walishaomba zamani saana nakumbuka bado nikiwa bongo
Mkuu sasa hivi upo wapi?
kwann unasema hivo Mkuu?Hiki kitakua cheo kipya ndani ya tra.