TRA njooni huku mkusanye kodi

TRA njooni huku mkusanye kodi

pure man

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2015
Posts
553
Reaction score
443
Kuna biashara zinaendelea mtaani zenye mitaji mikubwa sana lakin hawalipi kodi.

Nimeshuhudia sehemu kadhaa watu wakiwa nakopesha hela za riba kwa mwezi.hii biashara licha tu kwamba haina baraka.za B.O.T lakin pia haipi kodi,na uzur zaidi ni biashara inayolipa sana maana watu wanapora viwanja,magar,nyumba kwa mkopo wa milioni moja lakin riba laki tao kwa mwezi. aaaaaaahaaa let us be serious Magufuli mulika na kitaani wananchi wako wanatapeliwa sana.

Naamini hii biashara ya pesa inakuwa contolled na central bank ili kulinda uchumi wetu lakini cha ajabu viongozi wa serikal za mitaa ndio wakopeshaji wakubwa. Polisi ndio usiseme wanaingia ubia na wakopeshaji nao wanaonekana kama ndio wenye mitaji ili tu uogope kisa eti polisi lipa nawe kodi basi.

Kuna vigogo wengi serikalin wamejiingiza kwenye biashara hii kwa mlango wa nyuma kwa kutoa mitaji kana kwamba hawajui sera za fedha na uchumi zinataka nini.

Tembelea mipakani, kuna biashara ya FOREX currency huko bila kodi na biashara inafanywa kweupeeee bila kificho na wanausalama wanaangalia wanajua jioni wataenda kukusanya hela ya kahawa.

TAFADHALI TRA NJOONI NA HUKU MKUSANYE KODI
 
pure man
kama mtu amekukopesha kistaarabu tu, ukatatua tatizo lako tafadhali mlipe!,mwenye chake kumbuka alikusaidia kwa wema!
 
Last edited by a moderator:
Kwenye kukopa mnakua na kiherehere kweli: wakati wa kulipa ukifka sababu kama ulizotoa zinakua nyingi!!
 
Hapa mnielewe kikubwa ni hii biashara ambayo ipo kitapeli sana,inawaumiza wasiokuws na ufahamu bora wapewe mashart ya ulipaji kod
 
Dah Hii biashara imewaumiza sana watu maana unasign nisipolipa hadi tarehe 30 niuziwe gari langu hawa kuna mkoa wanatumia nguvu za kichawi ukikopa hupati hela ngooooo hadi wauze
 
Waende pia na pale Coco neach kwa wauza mihogo, maji madogo ya uhai tunauziwa 1500/=tsh.
 
Back
Top Bottom