TRA na Ushuru wa magari toka Japan, shida ni nini?

kwa ninavyo fahamu mimi ni gari lililozidi miaka 10 gharama yake kwa upande wa kodi na tozo nyine ni kubwa sana, ila jipya yani lililo tumika chini ya miaka 10 ni nafu lakini bado inaumiza walio wengi unakuta gari mtu unanunua mil28 ila mpaka lifike mikononi mwako inakuwa ni gharama ya gari uizidishe mara mbili kitu ambacho kinatuumiza tulio wengi na ndo mwanzo wa kuanza kutafuta janja janja ili tusilipe hizo gharama na kodi pia importation inakuwa ni kwakiwango kidogo, mapendekezo yangu ni serikali kwakupitia TRA itafute namna ya kukata hizo hela baada ya gari kumfikia mlengwa, na gharama hizo zinaweza kuwekwe kwenye huduma muhimu za gari kama mafuta na vingine vitakavyo faa ambavyo havitamuumiza mlengwa moja kwa moja
Hio habari ya gari jipya eti ni nafuu kwny kodi si ukweli ni porojo za wale jamaa watoza ushuru tu. Ngoja nikupe mfano mrahisi.

Kodi ya Bmw 3 325 ya mwaka 2008(kwa mujibu wa calculator ya TRA)-ni Tsh.10,753,000.

Kodi ya BMW Bmw 3 325 ya mwaka 2015 ni-Tsh 32,276,00.

Sasa iweje wawe wanapiga porojo eti ukinunua gari ya miaka ya karibuni kodi inakua ni ndogo?
 
Mkuu kuna gari na gari ambazo nadhani mdai alisema zinapishana. May be hiyo type ya gari ushuru uko hivyo. Lakini still ni kodi kubwa sanaa. Kwani hata BMW X3 2008 mfano unaweza pakia Japan kwa dola 5000 mpaka 5500CIF. Ushuru ndio hivyo 10.7M. Hapo unaona ni almost 100% ya CIF. Ndio wadau wanavyoongelea.
Yaani ukitaka kununua gari moja nje yaani tafuta pesa ya magari mawili kabisa maana kodi yake ni gari moja.
 
Mkuu kuna gari na gari ambazo nadhani mdai alisema zinapishana. May be hiyo type ya gari ushuru uko hivyo. Lakini still ni kodi kubwa sanaa. Kwani hata BMW X3 2008 mfano unaweza pakia Japan kwa dola 5000 mpaka 5500CIF. Ushuru ndio hivyo 10.7M. Hapo unaona ni almost 100% ya CIF. Ndio wadau wanavyoongelea.
Mkuu asikudanganye mtu khs suala la kununua gari ya karibuni eti ushuru ni mdogo.

Fanya kitu kimoja kirahisi mkuu, ingia kwny calculator ya TRA hapo test gari ya Co. Yoyote ile unayoitaka whether ni Toyota,Merce. Benz,Opel,Suzuki etc...linganisha gari labda ya 2015 vs ya 2006 ya model ile ile,specification zilezile then tuletee feedback hapa mkuu.

Nasubiri jibu lako hapa mkuu.
 
Hio habari ya gari jipya eti ni nafuu kwny kodi si ukweli ni porojo za wale jamaa watoza ushuru tu. Ngoja nikupe mfano mrahisi.

Kodi ya Bmw 3 325 ya mwaka 2008(kwa mujibu wa calculator ya TRA)-ni Tsh.10,753,000.

Kodi ya BMW Bmw 3 325 ya mwaka 2015 ni-Tsh 32,276,00.

Sasa iweje wawe wanapiga porojo eti ukinunua gari ya miaka ya karibuni kodi inakua ni ndogo?
basi ni wahuni
 
Mkuu asikudanganye mtu khs suala la kununua gari ya karibuni eti ushuru ni mdogo.

Fanya kitu kimoja kirahisi mkuu, ingia kwny calculator ya TRA hapo test gari ya Co. Yoyote ile unayoitaka whether ni Toyota,Merce. Benz,Opel,Suzuki etc...linganisha gari labda ya 2015 vs ya 2006 ya model ile ile,specification zilezile then tuletee feedback hapa mkuu.

Nasubiri jibu lako hapa mkuu.
Mada hapa mkuu ni ushuru kuwa juu kwa wananchi waliowengi kushindwa either kuagiza bidhaa nje ili kujikwamua kimaisha.
Ununue gari ya 2015 au 2018 au ununue gari ya 2008 still ushuru unasoma juu ukilinganisha na gharama CIF ya gari uliyolipia.
Nimetoa mfano BMW X3 2008 utalipa ushuru 10.7M wakati wewe umenunua mpaka hapo Tanzania kwa CIF5000USD mpaka 5500USD. Hapo unaona ushuru ni gari nyingine tena. Sasa kwa mtu wa kawaida akitaka kununua IST mfano CIF utaweza ipata
toka Japan kwa USD2300 ya mwaka 2004 au 2005 , Ushuru utalipa 4.8M mpaka unatoa gari 5.2Milioni shiling. Gari nyingine pia. Yaani ushuru ni almost 100%.
Ndio maana wadau wanaomba japo ungekuwa 60% ya CIF.
 
Mkuu you're missing the point,mkuu Uchira1 alichokua anasema ni kwamba gari za hivi karibuni zina kodi ndogo kuliko magari ya zamani na hicho ndicho nilichokua na discuss naye hapa.

Na wala haikua suala la ku compare kodi zinatozwa brand moja ya magari compared to brand nyingine.
 
Write your reply...Kama kuna watanzania wanaenda Kenya au Uganda kununua gari kwa vile huko k
una unafuu wa kodi, tupate tarrifs za huko bila kujali kuna bandari au la tutakuwa tumepata mhimili wa kujadili huu uzi.
 
Mfumo wa kodi ni kandamizi kwa wananchi.

Uganda haina bandari, ila wafanya biashara wa Tz wanaenda huko kununua bidhaa wanakuja kuuza Kariakoo na kupata faida. Ungetegemea waganda ndo waje kufata bidhaa Tz maana ndipo kuna bandari, lkn sivyo!
 
jaguar.png
evaluation jaguar.png
 
wakuu mi naomba kujuzwa kwenye hiyo calculator ya Tra hii total tax ya chini kabisa inamaana wamejumlisha na price ya gari au ile ni ushuru tu wao hawahusiani kabisa na price ya gari???????
 
Back
Top Bottom