Katika European union, we toka na gari nchi yoyote na nenda nchi unayo taka, hautadaiwa kodi, na kila nchi imeweka taratibu zake za kodi, kwa nini iwe Tanzania tu ndio tuna mfumo huu? Halafu tunausifia muungano wa pekee..
Kanunue tv mkuu zanzibar kama hutaiwacha bandarini, bora ununue Kenya or nchi nyengine jirani nafuu.