Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 3,804
- 8,796
Kuna watu watakuja na kauli za kukebehi juu ya bandiko langu. Nimeweza kubahatika kutembea baadhi ya nchi za wenzetu na kujionea mambo tofauti kabisa na hapa kwetu.
Hivi karibuni jijini Dar es Salaam kumeibuka raia wa kigeni hasa kutoka Misri na Uturuki wanauza vyombo majumbani kwa njia ya kukopesha kwa miezi mitatu.
Mfano unaweza kununua kwa mkopo set nzima ya vyombo kwa kiasi cha Tshs. 500,000 kwa muda wa miezi mitatu yaani kila mwezi anakuja kuchukia Tshs. 150,000 kumbuka hakupi risti ya EFD.
Kuna siku wamemuuzia mama mmoja microwave kwa Tshs. 450,000 nilivyoenda Kariakoo kinauzwa kwa 200,000. Shida sio bei tabu yao hawa ni wezi hawatoi risiti kuna siku nimewaambia wanikopeshe wakakataa maana wangekubali tu ingekula kwao.
Mbaya zaidi wanatembezwa mitaani na Wabongo wenzetu. TRA wafuatilieni hawa Wamisri hii biashara ya kukopesha nakumbuka ilikuwa inafanywa na Waha.