Tra na kodi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tra na kodi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by TATIANA, Jan 13, 2011.

 1. TATIANA

  TATIANA JF-Expert Member

  #1
  Jan 13, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 4,103
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  Wanajamvi,
  hivi inakuaje mfanyabiashara wa kawaida eg mtu ana duka lake mfana manzese ana tin,leseni ya biashara pia anatoa risiti kwa wateja na ana reg ya vat. Anawakilisha tra kila mwaka balance sheet,income na expenditure account kwa ukaguzi. Ila sasa sasa mbona kuna majumba kibao ya vigogo yanapangishwa kwa mamilioni ya dola bila kufata sheria hiyo. Mi nadhani wakati umefika sasatra kufuatilia suala hilo kwa makini sana.
  Ni hayo tu wakuu.
   
 2. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #2
  Jan 13, 2011
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Noted with Thanks
   
 3. regam

  regam JF-Expert Member

  #3
  Jan 13, 2011
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 268
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mie nadhani ni ufinyu wa ubunifu wa tra kudhani kodi ni kutoka kwa wafanyabiashara wa maduka na viwanda tuu. Kuna vyanzo vingi tuu vya mapato ya serikari. Hao ndo wasomi wetu wanaofanya kazi kwa mazoea tuu, ubunifu ni ziiiirooo!
   
 4. TATIANA

  TATIANA JF-Expert Member

  #4
  Jan 13, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 4,103
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  thanks mkuu
   
 5. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #5
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  They are supposed to pay witholding tax
   
 6. TATIANA

  TATIANA JF-Expert Member

  #6
  Jan 13, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 4,103
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  idadi ya watanzania inakua kwa kasi sana hivyo serikali lazima iwe creative kukusanya kodi zake kulingana na na wakati. Biashara ya kujenga majumba ya kupangisha imekuwa sana sasa ni vyema kodi zilipwe pia.bila hivyo hapatakua na uwiano wa ulipaji kodi wa serikali.
   
Loading...