TRA na kampeni mpya ya ku-block Tansad za Walipa kodi

TRA na kampeni mpya ya ku-block Tansad za Walipa kodi

Prof Griff

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2008
Posts
6,771
Reaction score
5,268
Naona kuna policy mpya ya TRA imetokea takriban wiki 2 au 3 zilizopita za ku block Tansads za wananchi walipa kodi, ambao wanaingiza mizigo yao bandarini au kupitia airport.

Hii sera kwanini ianze sasa wakati wa kampeni za uchaguzi? Kuna nini kilichojificha nyuma yake na TRA ya CCM? Kwanini tunyanyanyaswe hivi kama vile wakwepa kodi na kupewa usumbufu mkubwa na TRA kwa mizigo yetu kukataliwa release documents na TRA licha ya kulipa kodi zote stahiki tena bila ya kutaarifiwa na TRA kama kuna matatizo yoyote?
 
N taxi assessment document ya kodi unayotakiwa kulipa Kwa TRA kama umeingiza mzigo kutoka nje ya nchi.
 
Tancis inasema “Waiting for Commissioner for Domestic Revenue Approval”. Wakati hapohapo inasema”paid” na “assessed”.

Duh...ngoja wataalam wa declarations waje. Nadhani hiyo approval ya commissioner ndio inasubiria physical verification.
 
Hadi Kufikia hatua ya ku block individual tansads, basi TRA wapo desperate kuna kitu kinawasukuma hadi kufikia hatua hii wakati huu. Jee, nI ma CCM wanahitaji pesa za kampeni?
 
Mkuu ni kweli. Usumbufu mtupu TRA . Yaani unaingiza ka gari unakalipia ushuru baada ya muda unaitwa income tax unaambiwa na ile faida kama ka laki pia wanakataka waokosi hawa.
 
Mkuu ni kweli. Usumbufu mtupu TRA . Yaani unaingiza ka gari unakalipia ushuru baada ya muda unaitwa income tax unaambiwa na ile faida kama ka laki pia wanakataka waokosi hawa.
Huu wote ni udhalimu wa ccm, ndio mana hatuitaki imekuwa mstari wa mbele kunyonya raia wake kwa maagizo toka juu
 
Mkuu ni kweli. Usumbufu mtupu TRA . Yaani unaingiza ka gari unakalipia ushuru baada ya muda unaitwa income tax unaambiwa na ile faida kama ka laki pia wanakataka waokosi hawa.
Kama ni hivo bora kupeleka mizigo bond, maana kama michezo hiyo inatokea bandarini bas storage lazima itakumaliza
 
Ila pia kuna wimbi la kutuma barua za madai ya kodi kwa kampuni na watu binafsi kwa kasi kubwa sana. Huu si uchonganishi wa wazi? Mh Rais kuwa makini, how watu wanadaiwa sasa madeni ya miaka kibao tena kuelekea uchaguzi mkuu?
 
Issue hio ipo hivi TANSAD za wale waliotumia TIN Non Business kuingiza mizigo frequently wanazipiga pini ili wakafanyiwe assesment na kulipa returns maana inaonekana watu wengi wanatumia TIN Non Business kufanya shuguli za Business TIN i.e Non Business TIN inaingiza importation kama 20 au 30 ndo hapo lazima upigwe pini
 
Good. Basi waweke mambo hadharani la sivyo mzigo uhifadhiwe LW9 ku avoid storage.
 
Ila pia kuna wimbi la kutuma barua za madai ya kodi kwa kampuni na watu binafsi kwa kasi kubwa sana. Huu si uchonganishi wa wazi? Mh Rais kuwa makini, how watu wanadaiwa sasa madeni ya miaka kibao tena kuelekea uchaguzi mkuu?
TUNATEKELEZAAAAAAAAAAAA.
 
Back
Top Bottom