hahahaha waliipenda wenyeweUmevurugwa ukavurugika na bado, ndio kwanza dk 30 na kocha ana frustration zaid ya wenger. Awamu hii arsenal lazma wachane mkeka
huyu mtoa mada n MTU wa ikwiriri alidhan kuwa tra unahitaj degree ya kigodoro? aende shule na yeyeUnajua kuchocheaa!
Eti wafanyakazi wa tra ni chadema, mnajua wazi sizonjee akisikia chadema anapata frustrations
huyu mtoa mada nadhan apelekwe mirembeUmeharibu kuchanganya siasa na malalamiko yako kwa hiyo hata uzi wako umekosa maana, watu wataacha kujadili hoja yako wataanza kujadili siasa
Tena haraka sanahuyu mtoa mada nadhan apelekwe mirembe
hahahaha hii mifisi ilitegemea kupanda maharage then ivune ngano?Wewe ndo una chuki binafsi, kwani mnaambiwa uongo? ccm mliichagua wenyewe, sasa unamlilia nani?
Na bado kuna kodi ya kwenda chooni na kodi ya kucheka bila sababu inakuja, .
waache waisome namba walizoea mteremko fisi hawaLipeni kodi acheni kulia lia mmezoa dezo kweli kweli,mlisamehewa kubomoleshwa nyumba msidhan mteremko huo kwenye kodi.Na mnashangaza kweli hadi leo EFD wengi wenu hamna.
ha ha haa fisi.waache waisome namba walizoea mteremko fisi hawa