TRA must tax Diasporas

LGF

JF-Expert Member
Dec 6, 2020
1,390
782
Under Section 6 (b) of the Income Tax Act, non-resident persons are liable to income tax but only to the extent that the income accrues from Tanzania. This must be amended - in all other countries that I know, including Kenya, Israel, Zimbabwe. South Africa Lithuania, India, China, US, UK and New Zealand, tax is chargeable on worldwide income.

There is a group of people here running around calling themselves Diasporas, asking for dual citizenship. With or without uduo, these are Tanzanians and must pay tax.

The Diasporas remit their money to Tanzania through media such as AMAZON, M-pesa,credit cards, and Couriers like DHL: all these derive income in Tanzania Therefore, the TRA Commssioner is hereby urged to levy tax from the Diasporas. They must register themselves with the nearest Embassy and get TIN Numbers for TRA to open files for them.
 
Sjui kama ni ubunifu wa kutafuta mapato au ni ufinyu wa akili? Chinua Achebe once said " Chase the fox first, then warn hens going wandering on bushes".Ufisadi umeota Mbawa mpaka Report za CAG znatanabaisha but bado kuna mjinga anaamini atabuild royalty ya Mwananchi kulipa kodi?

Kodi kulipa bila shuruti huanzia pale Serikali inatumia fedha za walipakodi kisawasawa na matokeo yaonekane katika uhalisia.

Tuhubiri misingi bora ya matumizi ya kodi zetu kwanza,Tuhubiri uzalendo kuanxia kwa watawala mpaka chini. Tupelekee huduma kwa wananchi zilizobora na za uhakika. Hapa kila mtu atalipa kodi. Rushwa, ufisadi nk nk haya ni mabomu kinzani katika kukusanya kodi. Pambana na hivyo vitu kwanza uone matokeo.
 
Umeona unakili haya kusajili diaspora na kuwakata kodi kwa huduma gani mnazowapa?
Pambaneni na hali zenu kwanza, huduma kwa wananchi wa kawaida hawapati na kutwa mnawakata kodi

Hata takataka zimewashinda
 
Wenda ungeandika lugha mama ya Tanzania hata mimi ningeelewa na wenda mchango wangu ungekuwa ni matusi bin matusi.

Kwa ninavyoona wachangiaji tu.
 
Wamarekani popote pale walipo duniani wanalipa Kodi kwao..

Ukichoongea kinafanyika nchi zingine..

Lakini watanzania watajificha kwenye ripoti ya CAG...
 
What services are you giving them in return?

Walipe kodi alafu uzitume tena Japan zikanunue ndinga za Zero km?

Hizi pesa wanazowatumia wajomba zao huku zinatosha.
 
Read with act concerning double taxation , kwa hiyo angalia na mguu was pili double taxation ina ruhusiwa? ?
 
Wamarekani popote pale walipo duniani wanalipa Kodi kwao..

Ukichoongea kinafanyika nchi zingine..

Lakini watanzania watajificha kwenye ripoti ya CAG...
Currently, Tanzania has a total of ten double tax treaties signed with other nations and these include; Canada, Denmark, Finland, India, Italy, Norway, South Africa, Sweden, Switzerland and Zambia.

Double taxation refers to the act of paying income taxes twice on the same income. It can occur in three scenarios, explained below: Income from corporations taxed for the corporation and its members. International investment or international trade.

Double taxation may occur for any of the following reasons: (a) Residence – Residence Conflict: Two States may tax a person (individual or company) on his world-wide income or capital because they have inconsistent definitions for determining residence.

Taxation of residents versus non-residents
While residents (both individuals and companies) are taxed based on all their incomes regardless of the place where it is earned, non-residents are taxed only on income that is earned in the URT.13

Refer to income tax act on the definition ya resident person na non resident person. And the numbers of days one stays in a certain country out of 365 days ili useme huyu ni resident person au non resident
 
Wamarekani popote pale walipo duniani wanalipa Kodi kwao..

Ukichoongea kinafanyika nchi zingine..

Lakini watanzania watajificha kwenye ripoti ya CAG...
Lakini kwa makubaliano ya nchi na nchi
Kwa mfano UK na Dubai wana makubaliano ya double taxation hivyo hulipi kodi kama unafanya kazi Dubai

Ila unaweza kuchangia National insurance contributions kwa akiba yako ya uzeeni
 
Tuna watanzania laki tano Oman ..
Na laki 2 UK...

Wakati watu wanaolipa Kodi Tanzania ni milioni 1 Tu...
Tukikaa vizuri na mipango tunaweza double makusanyo ..
 
Wenda ungeandika lugha mama ya Tanzania hata mimi ningeelewa na wenda mchango wangu ungekuwa ni matusi bin matusi.

Kwa ninavyoona wachangiaji tu.
Ngoja niandike kwa Kuzigua. Nasema kwamba hawa wanaojiita Duaspora wanataka uraia wa Nchi mbili. Waliikimbia Tanzania kwenda nje, wakapewa masharti ya kuukana Utanzania ili wawe raia wa Marekani.

Sasa wanataka waoate byite viwili, tuwape passport yetu wataificha huko ili kutumiza masharti ya mabeberu. Khasa khasa ni ndumilakuwili au wasaliti kama Yuda.

Hiki ninachosema hapa ni kwamba kama kweli wanataka tuwape uraia wetu walioukana, basi walipe kodi yetu ma tozo zake kama tunavyolipa sisi wajinga tulioamua kubaki Bongo yetu. Sasa ngoja utaona wanasema ni wivu. Tazama ramani utaona Nji nzuri.
 
Tuna watanzania laki tano Oman ..
Na laki 2 UK...

Wakati watu wanaolipa Kodi Tanzania ni milioni 1 Tu...
Tukikaa vizuri na mipango tunaweza double makusanyo ..
Kuna blogu ya mariasarungi utakuta wanasema wako milioni 5 na wote ni mabilionea. Kama TRA akichangamkia hii tenda tutamwomba Samia (badala ya kufuta kodi) aweke mwendokasi bure na SGR bure na ATC bure, kodi ya maduaspora itakuwa ni nyingi mno maradufu mara kumi (kama anachosema mariatsehai ni kweli).
 
Tuna watanzania laki tano Oman ..
Na laki 2 UK...

Wakati watu wanaolipa Kodi Tanzania ni milioni 1 Tu...
Tukikaa vizuri na mipango tunaweza double makusanyo ..
Ni kweli mkuu ila tuwe na haki zote pia
Tutalipa tu na kuchangia taifa
 
Kuna blogu ya mariasarungi utakuta wanasema wako milioni 5 na wote ni mabilionea. Kama TRA akichangamkia hii tenda tutamwomba Samia (badala ya kufuta kodi) aweke mwendokasi bure na SGR bure na ATC bure, kodi ya maduaspora itakuwa ni nyingi mno maradufu mara kumi (kama anachosema mariatsehai ni kweli).
Hao billionaires wa $? Maana hata kwa shilling ni uongo
Wote hao mbona wangekuwa na kisiwa chao kabisa cha matajiri
 
Currently, Tanzania has a total of ten double tax treaties signed with other nations and these include; Canada, Denmark, Finland, India, Italy, Norway, South Africa, Sweden, Switzerland and Zambia...
Double taxation treaties must be win-win. Hawa madiaspora wetu wanachotaka ni vile vitu vitakavyowafaa. Hii itakuwa na faida kwetu in net terms kwa sababu hapa madiaspora wa nje wanaoishi hapa TAYARI wanalipa kodi za huko (ni Wahindi na Wazungu wana maduka yao UK na Canada). Ili upate DTR (double tax relief) ni lazima ukotambulishe KYC. Nadhani mabeberu wakishajua hawatokubali sisi kufaidika.
 
Under Section 6 (b) of the Income Tax Act, non-resident persons are liable to income tax but only to the extent that the income accrues from Tanzania. This must be amended - in all other countries that I know...
Naunga mkono hoja
P
 
Double taxation treaties must be win-win. Hawa madiaspora wetu wanachotaka ni vile vitu vitakavyowafaa. Hii itakuwa na faida kwetu in net terms kwa sababu hapa madiaspora wa nje wanaoishi hapa TAYARI wanalipa kodi za huko (ni Wahindi na Wazungu wana maduka yao UK na Canada). Ili upate DTR (double tax relief) ni lazima ukotambulishe KYC. Nadhani mabeberu wakishajua hawatokubali sisi kufaidika.
Pata tafsiri kwanza ya resident person na non resident person.

Huyo diaspora , semay anakuja bongo kwa miezi miwili ni kama siku 60, je hapo ana qualify kuitwa resident person or ana kuwa resident person?

Pili ukija kwenye issue ya double taxation unachotakiwa kuangalia huko aliko diaspora analipa tax % mfano corporate tax 30% na Tz ni corporate tax say 40% , sasa hapa ku avoid double tax ndio unable net off 30% aliyopigwa kodi ugaibuni katika 40% ya bongo . Sasa hapq ndio unaweza kuchukua 10% ambayo hakupigwa kodi huko ugaibuni.
 
Pata tafsiri kwanza ya resident person na non resident person.
Huyo diaspora , semay anakuja bongo kwa miezi miwili ni kama siku 60, je hapo ana qualify kuitwa resident person or ana kuwa resident person?...
Hiyo ya definition unaileta wewe. Dr Tax alisema watapewa SPECIAL STATUS lakini wanahamaki eti I awanyima birthright. Kwa hiyo wawe treated sawa tu na birthright wengine, walipe kodi. TRA kidogo alikuwa amezubaa tu, alitakiwa awafuate tangiapo. Hili la kodi walikuwa hawajalifikiria.
 
What services are you giving them in return?

Walipe kodi alafu uzitume tena Japan zikanunue ndinga za Zero km?

Hizi pesa wanazowatumia wajomba zao huku zinatosha.
Hizo hela za wajomba wao si kodi ya serkali, zinaishia kwa wajoma mume wa pili. Tunataka kodi walipe kama tunavyolipa sisi.
 
Back
Top Bottom