TRA Msimstafute Mchawi. Mchawi ni TRA

Ni vizuri kodi ya kila bidhaa iwe wazi wazi kweupe gharama ziainishwe kwa uwazi pasipo kificho chochote, kufanya kodi kuwa siri ndiko kumeifanya TRA kuchukiwa na wafanyabiashara wengi, wafanyakazi wengi hutumia fursa hiyo kuomba na kupokea Rushwa toka kwa bidii kubwa, kwa kifupi huko TRA kunahita kufumuliwe kusukwe upya
 
wacheni ujinga na kujikisha. hili serekaki halilikwepi na jiwe anahusika kwa asilimia mia.
pia Maccm kama cha hayawezi kwepa hili pia.

tumesea sana humu na hamkusikia yana haribiia mnakuja kujifanya kutafuta mbuzi wa kafara.

pumbavu pigeni kimyaa [HASHTAG]#weareinrighttruck[/HASHTAG]
 
"kukadiria kodi" hili neno sipendi kulisikia. niliamua kuacha kubadili umiliki Wa pikipiki kwa sababu ya msamiati huo na hivyo tra kukosa mapato.

wekeni formula hadharani, nikija kwenu nije na sh mgapi, sio mkadirie.

Sijui hiki kipengele cha "kukadiria kodi" kama kipo kwenye sheria za kodi...hiki kipengele ni kichaka cha unyonyaji na wizi wa mitaji ya wananchi...hakuna bidhaa ngeni nchi hii kwa nini msiweke ikajulikana wazi bidhaa fulani kiasi gani?

Mtoza ushuru siku zote anawindwa na laana ya dhuluma.
 
Reactions: Cyb
Kufanya biashara nchi hii inaonekana kama una laana hasa awamu hii ya tano.kuna chuki kubwa dhidi ya wafanyabiashara,huwa najiuliza kwa nchi kufanya biashara ni dhambi!
 
Wameamua kumhujumu Rais Magufuli na Serikali ya Viwanda. TRA ndio wachawi
Hawajamhujumu mkuu, kwani wakati wa Kikwete na Mkapa TRA si hawa hawa? Kwa nini sasa? Matatizo ya taasisi nyingi huwa ni kwenye 'bottleneck'. Kama mkubwa brain yake inaamini uchumi wa nchi ni kodi, unategemea hawa wapiga zumari wafanye nini?
 
Kufanya biashara nchi hii inaonekana kama una laana hasa awamu hii ya tano.kuna chuki kubwa dhidi ya wafanyabiashara,huwa najiuliza kwa nchi kufanya biashara ni dhambi!

Serikali ya viwanda imegeuka kuwa serikali ya ukomoaji kupitia TRA. Ukihoji au kukosoa, ni TRA wanaanza na wewe kisha Uhamiaji
 
Maadui wa maendeleo Tanzania;
Uwapo barabarani adui ni Polisi
Uwapo kwenye biashara adui wa maendeleo ni TRA.
 
Acha tu picha ziongee
 
Lipa Kodi Kwa Maendeleo ya Taifa, Acha Kuhujumu Uchumi Mimi Mwenyewe nalipa Kodi Kila Mwezi ambapo Sasa Imefika Sh. 345,400 kwa Mwaka nalipa Sh.4,114,400 na Silalamiki Najivunia Kulipa Kodi.
Umeona eeh watu wanalamika tuuu.Kama hutaki kulipa kodi kama mimi usifanye biashara kabisa
 
Lipa Kodi Kwa Maendeleo ya Taifa, Acha Kuhujumu Uchumi Mimi Mwenyewe nalipa Kodi Kila Mwezi ambapo Sasa Imefika Sh. 345,400 kwa Mwaka nalipa Sh.4,114,400 na Silalamiki Najivunia Kulipa Kodi.
Hiyo nayo ni kodi ya kuja kujisifu mbele ya wanaume wenzako? Tena hicho ni kikodi cha kamshahara kako ka 1.7.
Watu wanapozungumzia kodi muwe na adabu kulinganisha hivyo vikodi vyenu vya mishahara ambavyo mnavijua sio vya kukadiria.
 
Mkuu hizo ni namba tu ambazo mtu yeyote anaweza kuandika. Weka ushahidi kama ni kwelli unalipa hicho kiasi. Kama ni mfanyakazi weka salary slip, kama ni mfanyabiashara weka Bank-pay-in slip. Vinginevyo hizo ni porojo tu, ID yenyewe fake!!
hebu weka risiti hapa ili tuamini! Vinginevyo ni uongo wa kiwango cha lami!
Acha Muendelee kukalia Makochi ya Mama na Baba Zenu yaani Unataka ni disclose Salary Slip yangu yenye Organization na Jina langu halisi kwenye Mitandao ya Kijamii?
 
Acha Muendelee kukalia Makochi ya Mama na Baba Zenu yaani Unataka ni disclose Salary Slip yangu yenye Organization na Jina langu halisi kwenye Mitandao ya Kijamii?
muoga mpaka unakimbia kivuli chako, mali ni yako kiwewe cha nini!?
 
Lipa Kodi Kwa Maendeleo ya Taifa, Acha Kuhujumu Uchumi Mimi Mwenyewe nalipa Kodi Kila Mwezi ambapo Sasa Imefika Sh. 345,400 kwa Mwaka nalipa Sh.4,114,400 na Silalamiki Najivunia Kulipa Kodi.
Troll JF, wewe hulipi kodi unakatwa kodi- lini ulishajipanga foleni ukalipa hiyo kodi- muheshimu sana aliyekuajiri kwa kutumia akili ZAKE kukutengenezea ajira na mshahara wa kukulipa-NA UACHE NYODO KABISA. PIA WAMBIE WOTE MNAOISHI KWA MSHAHARA MUACHE NYODO KAMA ZAKO
 
Without constitutional curbing mechanism, it is hard to prevent the natural tendency of government to be excessive.
 
Without constitutional curbing mechanism, it is hard to prevent the natural tendency of government to be excessive.

We aren't anywhere near constitutional amendment. This regime is shooting itself on the foot, an doomed to fail due to the erratic behaviours being perpetrated by its agencies such as the TRA, Police force etc..........
 
Hapo kwenye makadirio wenyewe wanaita Provisional Tax nilikadiriwa kwa mwaka 1.2ml Mtaji nilijaza 1.5ml wakanipa slips za kwenda kulipa, TIN walikataa kunipa mpaka nilipe hiyo niliyokadiriwa na Mhasibu, nikalipa robo ambayo ni 300,000 nikapewa TIN ila nikamtuma mwenzangu afuatilie Tax Clearance Certificate, akapewa karatasi nyingine (payment Slips) kwamba tuongeze hela yaani inatakiwa 100,000.00 kwamba wamefanya valuation upya so tunapaswa kulipa extra 100,000.00!!!

Nimeshangaa sana,..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…