TRA kunani kwenye leseni za udereva

TRA kunani kwenye leseni za udereva

Mookiesbad98

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2015
Posts
3,572
Reaction score
4,825
Watu wengi tunakata leseni tunabaki na risiti. Hili swala Kama TRA limewashinda au. Hi ni aibu Sasa. Material za plastic tub za leseni zinawashinda.

Vitu haviendi on time tatizo Nini. Hebu tupeni press release mkieleza what is wrong na leseni za udereva

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo kweli Mkuu mbona wanatoa kwa wakati! Au unazungumzia ya mwaka Jana?

-
 
Nimerenew wiki iliyopita napewa kiswahili material Mara kwenda kuvuka mto kurudi. Hi ni issue ndogo lakini inaonesha jinsi gani watu hawafanyi kazi zao ipasavyo.

Uwazi kwenye suala la leseni unahitajika haihitaji siasa hii. Mamlaka husika watuambie kwenye vyombo vya habari tatizo like wapi na linaishaje. Huu si wakati wa kupotezeana muda kwa vitu vilivyowazi.

Tukielezwa shida ipo pale na.pale tutaelewa kuliko kuzungushwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naamini hapa ni jamvi kubwa wahusika wanasikia na watayasimamia maoni yangu.

Kuna masuala yanatuonesha kwamba hatuwezi kuendelea kabisa Kama vitu vidogo vitatushinda. Uwazi, maelezo . Time frame indeed

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda na shati la mikono mirefu mkuu,kama ulienda na mkono wa birika hautopata kamwe.
 
Tangu mwezi wa kwanza mpaka leo cjapata zaidi unaulizwa kitambulisho cha uraia kwa leseni mpya
 
Hili suala ni sugu saana, hasa kwa arusha.
Watu wamelaminate karatasi za TRA ndo wanafanya leseni, yaani hamna dalili ya kupata leseni karibuni
 
Binafsi, nliomba tokea mwaka jana mwezi wa saba. Pale millenium tower hadi hii leo nnavyoandika huu uzi hapa, sijapata.

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Nimerenew wiki iliyopita napewa kiswahili material Mara kwenda kuvuka mto kurudi. Hi ni issue ndogo lakini inaonesha jinsi gani watu hawafanyi kazi zao ipasavyo.

Uwazi kwenye suala la leseni unahitajika haihitaji siasa hii. Mamlaka husika watuambie kwenye vyombo vya habari tatizo like wapi na linaishaje. Huu si wakati wa kupotezeana muda kwa vitu vilivyowazi.

Tukielezwa shida ipo pale na.pale tutaelewa kuliko kuzungushwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kitu ipo pale tra tazara ni hatariiii... . ila za chap chap zipo wakishirikiana na yule jamaa wa suma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naamini hapa ni jamvi kubwa wahusika wanasikia na watayasimamia maoni yangu.

Kuna masuala yanatuonesha kwamba hatuwezi kuendelea kabisa Kama vitu vidogo vitatushinda. Uwazi, maelezo . Time frame indeed

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ukijifanya kufata utaratibu na wao wanafata utaratibu ha ha ha ha wanasema akili za kuambiwa changanya na za kwako mi nili renew within hours tena nikaletewa ofisini na kishoka
 
Mimi nimerenew nikaambiwa after 3 days but nilipoenda kuifuata wakazuga kuitafuta kisha wakaniambia nijaribu after 2weeks arooo ati nijaribu
 
Back
Top Bottom