Duduwasha
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 5,703
- 3,663
Bado leseni yangu haijatoka amin amin nakuambiaMimi nimerenew nikaambiwa after 3 days but nilipoenda kuifuata wakazuga kuitafuta kisha wakaniambia nijaribu after 2weeks arooo ati nijaribu
Bado leseni yangu haijatoka amin amin nakuambiaMimi nimerenew nikaambiwa after 3 days but nilipoenda kuifuata wakazuga kuitafuta kisha wakaniambia nijaribu after 2weeks arooo ati nijaribu
Usiseme uongo watu wanatembea name makaratasi.Siyo kweli Mkuu mbona wanatoa kwa wakati! Au unazungumzia ya mwaka Jana?
-
No. Mie mwenyewe nimerenew tangu mwezi February mpaka sasa sijaipata!!Siyo kweli Mkuu mbona wanatoa kwa wakati! Au unazungumzia ya mwaka Jana?
-
ana lake labda hajaenda chuo cha udereva. Mm nimerenew mara ya tatu juzi wamenipa ile copy wala sina wasiwasi ikiwa tiyatinwataniita kikubwa we ndugu fuata tutaratibuSiyo kweli Mkuu mbona wanatoa kwa wakati! Au unazungumzia ya mwaka Jana?
-