Mkuu hii ni kwa wenye maduka tu au hata wenye meza?
Taarifa ni kwa woteMkuu hii ni kwa wenye maduka tu au hata wenye meza?
Tatizo hiloTaarifa ni kwa wote
Alitaka walipe kodi halali na halisi na sio zile za kuchomekewa kwamba sijui anadaiwa kodi za miaka mitano au kumi iliyopita hesabu zake zilipigwa chini ya kile alichotakiwa kulipa hivyo analazimishwa kulipa huku akaunti yake ya benki ikipigwa pin na kutishiwa kufunguliwa kesi ya uhujumu uchumi.Wamegundua kosa lao?
Hata hivyo hangaya si alisema hataki kodi za dhuruma na kwamba anataka watu waachwe walipe kodi kwa hiari yao?
Ulaya ukikwepa utadaiwa hata baada ya miaka 50Alitaka walipe kodi halali na halisi na sio zile za kuchomekewa kwamba sijui anadaiwa kodi za miaka mitano au kumi iliyopita hesabu zake zilipigwa chini ya kile alichotakiwa kulipa hivyo analazimishwa kulipa huku akaunti yake ya benki ikipigwa pin na kutishiwa kufunguliwa kesi ya uhujumu uchumi.
Hizo ndio Rais Samia alikataa.
Bado zinaharibika. Na ukipata dharura ukalazimika kutofunguwa duka hata wiki wanaifungiya hadi uwatafuteMbona wanasema sina matatizo ya kuharibika mara kwa mara? Au hyo changamoto imetatuliwa?
Aaaah! Kwahiyo inabidi ubebe mashine huko uendako na uandike risiti feki ili wasifungie?Bado zinaharibika. Na ukipata dharura ukalazimika kutofunguwa duka hata wiki wanaifungiya hadi uwatafute
Si Panya Rodi wataongezeka?Acha kufanya biashara
Trillion Kwa mwezi wanaisikia tu.Wamegundua kosa lao?
Hata hivyo hangaya si alisema hataki kodi za dhuruma na kwamba anataka watu waachwe walipe kodi kwa hiari yao?
Kama hufikishi 12m Kwa mwaka ondoka Kariakoo.Kama mauzo yangu hayafiki million 12 kwa mwaka wanalazimisha vipi nitumie mashine ya EFD