TRA ilivyofifisha ndoto zangu, kujiajiri Tanzania ni zigo la misumari

Vyovyote vile itakavyokuwa, ila jamaa ni mchakalikaji haswa.

Unataka tuwasikilize upande wa pili TRA?
Unadhani watakosa sababu?
TRA hawakosi Cha kusema Sheria za Kodi janga
 
Naomba kuuliza nje ya maada,
๐‡๐ข๐ฏ๐ข ๐ข๐ง๐š๐ค๐ฎ๐ฐ๐š๐ฃ๐ž ๐ฆ๐ญ๐ฎ ๐š๐ง๐š๐ฅ๐ข๐ฉ๐ข๐š ๐ค๐จ๐๐ข/ ๐ค๐ข๐›๐š๐ซ๐ข ๐œ๐ก๐š ๐ค๐ฎ๐ฃ๐ž๐ง๐ ๐š ๐ฐ๐š๐ค๐š๐ญ๐ข ๐ค๐ข๐ฐ๐š๐ง๐ฃ๐š ๐ค๐ข๐ฆ๐ž๐ฉ๐ข๐ฆ๐ฐ๐š ๐ง๐š ๐ค๐ข๐ง๐š ๐ก๐š๐ญ๐ข, ๐ค๐ข๐ฐ๐š๐ง๐ฃ๐š ๐ง๐ข ๐œ๐ก๐š๐ง๐ ๐ฎ ๐ง๐š ๐ก๐š๐ญ๐ข ๐ง๐ข๐ฆ๐ž๐ฉ๐ž๐ฐ๐š ๐ข๐ง๐š๐ค๐ฎ๐ฐ๐š๐ฃ๐ž ๐ง๐ข๐ฅ๐ข๐ฉ๐ข๐ž ๐ค๐ข๐›๐š๐ซ๐ข ๐œ๐ก๐š ๐ค๐ฎ๐ฃ๐ž๐ง๐ ๐š ๐ค๐ฐ๐š๐ง๐ข ๐ข๐ฆ๐ž๐ค๐ฎ๐ฐ๐š ๐ฎ๐ฃ๐ž๐ง๐ณ๐ข ๐ก๐จ๐ฅ๐ž๐ฅ๐š?
 
Wenye account zilizonona kipindi Cha mniombee walipata tabu kupita maelezo

Yaani kilichokuwa kinafanyika ni kukatakata wanavyotaka baadae unapewa kilichobaki, Kuna mzee mitaa yetu biashara zake tairii juu
Kunyanyuka sidhani

Nachoona upande wako ushajua njia za kupita itapendeza Kama ukipata refa mtakayekuwa mnamegeana kidogo
Hii nchi ukishakubalika kwenye line za Hawa vibopa baaasi ni mwendo wa oda tu
Ni ngumu kupata refa maana Mimi si mapenzi wa Siasa huenda hili nalo limechangia Kama ningekuwa mwanasiasa Mambo mengi ningefanikiwa.
Mungu atanishindia
 
Mkuu samahani,ulikua una file VAT Returns kila mwezi?? Na kama ulikua una file,then unasema umepata loss,wakati account zako wanaziona zinaingiza pesa,hapo ndiyo kuna shida! Tafuta wana Sheria wakushauri chakufanya,au nenda kaonane na Commissioner General wa TRA,kama una madeni wekeni mkakati wa namna yakuyalipa na waweze kufungulia account zako uweze kua na access na pesa zako!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Vat na File
SDL
Payee
 
Dah!

Hapa duniani unaweza kuwa unapitia magumu ukahisi uko alone..

Kila mtu akisema aseme, utaona huna tatizo..

Nakumbuka kuna kipindi tatizo lilokuwa linanisumbua lilipiki, nikawa najifungia chumbani kwangu nikilia tu huku akilini najiuliza kwa nini mimi? Mbona wengine hawajapitishwa huku..

Kuna siku nilijisemea nitoke nizunguke kurefresh na kupoteza mawazo, nikaelekea maeneo ya Mbezi stand ambapo nilikutana na kijana ana mwili wa ajabu sana amekaa anaomba watu wamsaidie.. Ukimuangalia unaona kabisa siye aliyejileta maana hawezi kufanya vile kwa jinsi alivyo...

Nilijiona nina afadhali maana nilijiuliza nini kinaendelea katika akili ya yule mtu katika hali ile... Naamini alitamani atembee kama mimi, amudu kujihudumia kwa sehemu kama mimi lkn ndio vile tena... Nilichoka!

Sisemi Mkuu kutokuwa peke yako ni justification ya kupitia matatizo..

I just want to tell you Mkuu, ni kweli Umeumia lakn usiruhusu hayo maumivu yakudhurumu kile ulichonacho ambacho wengine wanatamani usiku na mchana kuwa nacho lakn hawana.

Just be thankful kwa kila jambo, angalia wapi ulikosea, chukua hatua songa mbele.

Dont Give up.
 
Vat
Payee
SDL
Na nyingine nyingi
Nina hangaishwa Sana sijui hata nifanye Nini
 
Asante Sana
Nimemwachia Mungu namshukuru kwa yote
 
Naomba kuuliza nje ya maada,
๐‡๐ข๐ฏ๐ข ๐ข๐ง๐š๐ค๐ฎ๐ฐ๐š๐ฃ๐ž ๐ฆ๐ญ๐ฎ ๐š๐ง๐š๐ฅ๐ข๐ฉ๐ข๐š ๐ค๐จ๐๐ข/ ๐ค๐ข๐›๐š๐ซ๐ข ๐œ๐ก๐š ๐ค๐ฎ๐ฃ๐ž๐ง๐ ๐š ๐ฐ๐š๐ค๐š๐ญ๐ข ๐ค๐ข๐ฐ๐š๐ง๐ฃ๐š ๐ค๐ข๐ฆ๐ž๐ฉ๐ข๐ฆ๐ฐ๐š ๐ง๐š ๐ค๐ข๐ง๐š ๐ก๐š๐ญ๐ข, ๐ค๐ข๐ฐ๐š๐ง๐ฃ๐š ๐ง๐ข ๐œ๐ก๐š๐ง๐ ๐ฎ ๐ง๐š ๐ก๐š๐ญ๐ข ๐ง๐ข๐ฆ๐ž๐ฉ๐ž๐ฐ๐š ๐ข๐ง๐š๐ค๐ฎ๐ฐ๐š๐ฃ๐ž ๐ง๐ข๐ฅ๐ข๐ฉ๐ข๐ž ๐ค๐ข๐›๐š๐ซ๐ข ๐œ๐ก๐š ๐ค๐ฎ๐ฃ๐ž๐ง๐ ๐š ๐ค๐ฐ๐š๐ง๐ข ๐ข๐ฆ๐ž๐ค๐ฎ๐ฐ๐š ๐ฎ๐ฃ๐ž๐ง๐ณ๐ข ๐ก๐จ๐ฅ๐ž๐ฅ๐š?
Mipango miji ndio hufanya hivyo ili Kuwa na hakika ya jengo umalojenga limekidhi viwango mfanano wa aina ya Ujenzi unaotakiwa mahali hapo
 
Pole Sana mkuu,mi nakushaur uwe na mwanasheria wako kwny Kaz zako,Akusimamie haki zako,na Mungu akutangulie katika Kaz zako
 
Kama kweli maelezo yako. Kama kweli wamekufanyia hivyo bila wewe kujua kwanini. Nitafute tuone nasaidiaje.
 
Ndiyo maana nilisema! Ongea nao! Kufunga Account za mtu hua ni hatua ya mwisho kabisa! Omba hata kuonana na Waziri wa Fedha! Hiyo ni haki yako pambania! Mkae chini wekeni mkakati wa namna gani unaweza kulipa hizo pesa zao za Vat,Payee na hizo City Service Levy ambazo hulipwa halmashauri,Jiji au municipal

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Asante kwa Ushauri lakini nimefanya zaidi ya hayo
 
natumaini huu uongozi wa mama, mambo kidogo yatakua sawa
Sioni nuru yoyote Mambo ni yaleyale kwasababu akaunti zangu zimefungwa watumishi wa TRA hawana utu wanachojua ni kubambika madeni ya uongo.
 
Back
Top Bottom