wafanya biashara hawapendi kulipa kodi!! naomba TRA nchi nzima wangekagua kujua kama vituo vya mafuta vyote nchini vina automatic EFD !! automatic EFD inasaidia sana maana ukiweka mafuta kwenye gari ina print hapo hapo !kingine kuwepo na ukaguzi Wa Mara kwa Mara kuzihakiki kama hizi EFD zinafanya kazi vizuri hazijachezewa na wabongo!!
tulipe wote kodi kwa maendeleo ya taifa letu!!
Mungu ibariki Tanzania
tulipe wote kodi kwa maendeleo ya taifa letu!!
Mungu ibariki Tanzania