Inconvenient Truths
JF-Expert Member
- Oct 21, 2014
- 439
- 354
dah! ChimpumuChimpumu nchi imemshinda.
Hajali maskini wala matajiri bali ccm.
Vipi kama ulienda nayo huko ulikoenda na kurudi nayo?
How do they figure that?
Ukitembelea nchi za wenzetu utaona jinsi Tanzania ilivyo ya hovyo kwenye huduma zake! Yaan tukiwaza sana tunakuja na wazo la kutembea kwa miguu dar dom nakujiita wazalendo
Umeshawahi safiri nje ya nchi au unaongea tu!Mlitaka asilipie ushuru?
Kuna mshikaji hapo nyuma kasema alilipia ushuru unyunyu....Kama unaondoka na chochote cha thamani una declare, kuna forms za kujaza wakati unatoka nacho.
Hivi mtu unakuja na TV kama baggage yako kwanini usi declare kabisa kabla hujapeleka mabegi yako kukaguliwa? Kuna chumba cha custom pale airport.
This is humiliation. TRA are going overboard
Umeshawahi safiri nje ya nchi au unaongea tu!
Uwezo wako ndio umeishia hapo! Unastahili ukuu wa wilaya weweUpo coco beach unauliza baharini wapi?
Kuna mshikaji hapo nyuma kasema alilipia ushuru unyunyu....
Manukato nayo ni ya kulipiwa ushuru?
Nyani Ngabu, hiyo Ralph Lauren Polo umeisikia Wapi? Nyie wanyantuzu si mkiingia dukani chaguo lenu LA kwanza ni zile chupi za VIP, mkikosa mnanunua TMK Wanaume Family, chupi zenye picha ya jani LA bangi.Like pay taxes for my Polo underwear?
Uwezo wako ndio umeishia hapo! Unastahili ukuu wa wilaya wewe
Hii nchi tunako elekea ni kubaya hata kama wanakusanya kodi si kwa njia hiyo huo ni udhalilishaji wa hari ya juu nulibahatika kuiona hiyo video
Ungekuwa umeshaenda nchi nyingine na kuona taratibu zao usingekimbilia kusema lazma ulipe kodi ila kwakua mwisho wako ni hapo coco beach siwezi bishana na wewe!Ahsante sana tena sana. Ukianza kuteua wakuu wa wilaya utanifikiria.
Kwa sasa nnaona hoja imekuingia na hauna jipya unaanza kuhororoja na kubwabwaja bila mpango.