Nashangaa sana kuzagaa kwa malalamiko ya wafanyabiashara kubambikiziwa kodi kubwa.
Wapo Maafisa wengi TRA wasio waaminifu, wanakadiria kodi kubwa, --baadae wanakuja mlango wa nyuma kuomba Rushwa ili wapunguze makadirio.
Ni ngumu sana TAKUKURU kuwanasa maana wafanyabiashara wanaogopa kuwa, wakifichua hii tabia, TRA watafanya uhasama na huyo mfanyabiashara na kulipa kisasi...
Kwa nini Ma IT wa Tanzania au MaEngineer wasije na Software au App ya kukadiria Kodi?
Mfano..APP au Soft ware..Unaingiza Mtaji, unaingiza Mzunguko Mauzo, unaingiza total profit --then Inatoa jibu la Kodi inayotakiwa kulipa