Tra hadi uswahilini

sinafungu

JF-Expert Member
Feb 13, 2010
1,524
863
Hayati baba wa taifa aliwahi kusema serikali CORRUPT, kazi yake ni kukimbizana na vijitu vidogodogo mittaani na kuwaacha wale wanaostahili kukwepa kodi. nashangaa hivi kule ambako nyumba hazina hata utaratibu MIPANGO MIJI , nako mnaenda kudai kodi.? vinyumba ambavyo wenye navyo hata kukopea benk hawawezi na ninyi serikali hamzitambui kwa maana ya kuzipa aidha HATI MILIKI ama LESENI YA MAKAZI. jamani hivi serikali imefilisikaaaaaaaaa...?
 
Huoni maneno ya Ndugu JK Nyerere yalikuwa kama unabii ambao sasa umetimia! Usilie, pambana mpaka kieleweke
 
NA NYERERE HYU HUYU UNAYEMWAMINI NDO ALISEMA UPINZANI WA KWELI UTATOKA CCM.....bravo UVCCM
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom