Mamlaka ya mapato tunataka kujua tatizo ni nini pale bandarini gate #2 gari za transit tangu jana hazijatoka kuna nini?
Hebu muwe na huruma hawa watu ni wageni pengine hata bajeti yao haiwaruhusu kukaa siku nyingi, ondoeni hii kero hizo tracking seal kama hamko tayari bora zitoeni tuendelee kupita check points
Nadhani mmnenisikia tunataka gari zianze kutoka now na hicho kitu kisijiurudie tena, maana tangu taarifa za msiba wa JPM basi na nyie mna-relux eh.
HABARI ZENU, NARUDI TENA KWENU FORODHA TATIZO NI NINI PALE BANDARINI GATE NO 2? HASA GARI ZA TRANSIT HAMUIONI HIO CONGESTION, TUNAOMBA MAMLAKA HUSIKA INGILIENI KATI HII ISSUE, NADHANI SASA TURUHUSU DRY PORTS ZIPOKEE MAGARI KAMA HALI NDIO HII.