L lauti Member Joined Oct 28, 2010 Posts 92 Reaction score 13 Sep 10, 2013 #1 Kwa ambao hamjaona, TRA wamechange venue from saba saba to DUCE, near uwanja wa taifa,, siku ni ile ile, na saa ni ile ile....interview njema.
Kwa ambao hamjaona, TRA wamechange venue from saba saba to DUCE, near uwanja wa taifa,, siku ni ile ile, na saa ni ile ile....interview njema.
Ndibalema JF-Expert Member Joined Apr 26, 2008 Posts 10,955 Reaction score 4,664 Sep 10, 2013 #2 Du! kwa kubadili venue tuu najua kuna watu kibao wataikosa hiyo interview.
makandomende Member Joined Sep 2, 2013 Posts 82 Reaction score 43 Sep 11, 2013 #3 Interview ya position gani kiongozi? maana wengine tulisafiri kidogo ndio nimerudi niliomba ya investigation
Interview ya position gani kiongozi? maana wengine tulisafiri kidogo ndio nimerudi niliomba ya investigation
L lauti Member Joined Oct 28, 2010 Posts 92 Reaction score 13 Sep 11, 2013 Thread starter #4 makandomende said: Interview ya position gani kiongozi? maana wengine tulisafiri kidogo ndio nimerudi niliomba ya investigation Click to expand... Position ya assistant accountant kaka,,,,
makandomende said: Interview ya position gani kiongozi? maana wengine tulisafiri kidogo ndio nimerudi niliomba ya investigation Click to expand... Position ya assistant accountant kaka,,,,