Josephat Mgimwa
Member
- Apr 8, 2014
- 60
- 18
Kama umewahi kufika katika mji wa BUKOBA Manispaa utakuwa shahidi kuwa hakuna daladala ambazo zinafanya safari za ndani ya mji na badala yake utaina no Pikipiki tu alimaarufu "sekido" na madereva wakiitwa "asekido"
Nauli zetuni 500 tsh tu kwa routes za karibu na mbali kidogo ni 1000 na kuendelea.
Kutokana na hali hiyo wauzaji wa Pikipiki wamekuwa wakipata faida nyingi kwa kuuza sana Pikipiki na kwa bei wanayotaka kwakuwa
1. Bukoba ni mbali na maeneo mengine
2. Pikipiki ni usafiri wetu mkuu
3. Wauzaji wote wana connection na TRA mkoa
Ninachoshangaa, TRA siku zote wana kagua vitabu vya wauzaji na kuchukua chao , lakini Pikipiki sasa inauzwa 2.4 millions na kitabu kinaandikwa 2.0 hadi 2.1
Hamuwaulizi mbona bei ni ndogo kuliko inayouzwa?
Sisemi mengi .... Kabla hatujawataja madalali Wa leseni za udereva, na wanaotetea hawa wenye maduka.... Simamieni uhalali Wa bei na kodi inayokwenda serikalini ....
Mtatuambia hiyo laki 3 ambayo haiandikwi mnagawanaje??? Tunaijua mienendo yenu ....
Chukueni tahadhari na waandishi Wa habari lifanyieni kazi suala hilo