TPDC wameshaanza kuita watu kazini

TPDC wameshaanza kuita watu kazini

Walioitwa ni ma Engineer na ma Technician nadhani wanatakiwa training ya haraka waliambiwa waende na passports,nafasi nyingine za wazee wa tai bado
ni maengineer wote wameitwa au baadhi yao? hebu nichekie instrumentation Engineer kama wameitwa
 
Back
Top Bottom