hawajawafanyia fair, wameanza kuwaita wa mwezi wa nane badala ya wa mwezi wa tano! au wa mwezi wa tano wanaitwa kimya kimya?
Mbona kinafunguka unatumia kimchina nn?
mkuu tutonye basi, hizo zilizobaki wataita lini? yaani hapa natembea na simu hadi chooni kama nitapigiwa nisimiss call, pressure juu
tmj wamesema kesho hawapimi,sijui kama ofisi ya tpdc inalijua hilo.jamaa wameenda leo wameambiwa kesho hakuna kupima mpaka j'mosi...wanapima na ngoma? Mmmmh basi hiyo kazi sina
tmj wamesema kesho hawapimi,sijui kama ofisi ya tpdc inalijua hilo.jamaa wameenda leo wameambiwa kesho hakuna kupima mpaka j'mosi...
namba ya HRM HII MWANYE VOCHA AWAPIGIE AWAULIZE 2200103/4.
nimepiga..
umeambiwa nini?
nimepiga..
dah! basi watuambie tu nani kapata nani kakosa hata kama ofisi zitafunguliwa mwakani kuliko tunavochuniana hivi, yani wangejua wanavoniacha dailema alafu naumia sana dah!. ukizingatia post zingine wametoa mwezi wa saba, mwezi wa nane watu wameanza kazi.daaaaahhhh!
Tusubirie tuone tu! ila la msingi ni mwenye namba ya HR ampigie tujue kulikoni.mkuu. naelewa machungu ulionayo. ila kuna mdau aliongelea wasi wasi wake kwamba tpdc yametokea kama ya uhamiaji nini?
Walioitwa ni ma Engineer na ma Technician nadhani wanatakiwa training ya haraka waliambiwa waende na passports,nafasi nyingine za wazee wa tai bado