Nimeshindwa hata kushangaa.
Nawapongeza simba kwa hatua hii.Anfaal,
Simba hapa ndo naona washachemsha. Sijui kama wataruhusiwa kusajili kukabiliana na hali hii, anahitajika tajiri mmoja mzalendo kuipa Simba nguvu ifanye maajabu, fursa hii ni ya kipekee kwetu.
Kinachonisikitisha zaidi, kocha Phiri kishapisha, mpya hata timu hajaifahamu vema (kwa ninavyoona), timu zetu zinaendeshwa kisiasa sana!
Hii kali . . .
Hapa kweli lazima ukose ujasiri wa kushangaa
Hivi ni kweli CAF walikaa wakaamua hivi au waarabu ndo wali-dominate ktk kikao wakapitisha upuuzi huu???
Hivi kweli mashabiki wa Simba wana cha kufurahia hapa kwa muda huu uamuzi ulivyoamuliwa????
Mi naona kuna ujanja hapa . . . .
Waarabu wamesoma alama za nyakati, wameona ngoja tucheze kwanza na TP Mazembe, then wakitolewa watarudi mezani.
Baada ya kuichapa Mazembe 1-0 mechi ya kwanza, wakajipa matumaini. Walivyochapwa 2-0 kule Lubumbashi wakaona KIMEOZA. Wakaamua kukomaa na meza. Then wakajua kwamba hata Simba sasa haijakaa sawa, imesambaratika hivyo wakipanga game ndani ya wiki wana uhakika wa kufuzu. Tena ichezwe game 1 tu kwenye neutral stadium . . . .
Mi sioni mantiki ya kucheza neutral stadium wakati kote Morocco na Tanzania hakuna tatizo, achilia mbali maamuzi haya kichaa ya kuitoa TP Mazembe
Habari ndo hiyo . . . .
Poleni Simba
Nawapongeza simba kwa hatua hii.
Nina mapenzi ya dhati kwa klabu hii (Simba) ila sijawahi kuwa member wake. Kwa namna ilivyo sasa naamini wanaweza wasifike mbali kwani teamwork haitakuwa na nguvu kama awali. Ikumbukwe PHII alikaa na timu akaizoea na wakazoeana mpaka kufikia kiwango cha kuridhisha. Lakini kwa sababu ya upofu na ulevi wa madaraka waviongozi wa simba (miungu ya simba) leo simba haijuti kupoteza kombe la lii kuu na wala hwajutiii kumpoteza kocha ambaye alianza kuijenga timu ktk mfumo mzuri wa uchezaji.
Doa ambalo si rahisi kufutika ktk kumbukumbu ni pale Rage anapoidharau taalum ya msemaji wa klabu ambaye ni mwanahabari na kumfananisha na KARANI. hii ndiyo footbal ya Tanzania inavyoendeshwa na hao ndiyo viongozi ambao wanalitumia jukwaa la michezo kufanikisha dhamira zao kisiasa na kuleta hizo siasa kwenye taaluma ya soka.
TUTATAMBIANA HUMU NDANI KWA SOKA LAKINI HATUTAVUKA MIPAKA MPAKA KLABU MOJA KATI YA SIMBA AU YANGA IFE. Yaani iwe kama Pan Afrikan kisha zije timu kama tatu hivi mfano wa AZAM ndipo tutakuwa na la kusimulia barani Afrika.
Kipa asiwe Kaseja, nshakosa imani naye sana huyu,,,
Sure man, tangu JKJ awe mjasiliamali na kiwango nacho sijui kinatengeneza tangazo la Zantel?
Let me tell my words!!! First i want to dis agree with the initiator of the story. The fact that disqualification of mazembe is because of simba isnt true!!!. Simba had already sent their appeal which failed!!! The reason for disqualification of mazembe is out of appeal by morocan club raja of moroco.
Amekurupuka tu huyu achana naye. Kwanza timu yanyewe ya Morocco sio Raja ni Wydad Casablanca. Pole sanaMkuu
Tunashukuru kwa kupata "YOUR WORDS"
Lakin yanaonyesha hayapo makini
Hebu bofya CAF : Confederation of African Football upate uhondo zaidi halafu uhakiki "YOUR WORDS"
Mkuu