Tozo ya vifurushi vya bure! nadhani huu utakuwa ni uamuzi sahihi!

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Aug 28, 2016
8,660
15,744
Baada ya kuibuka mgongano baina ya Serikali kupitia regulator wake TCRA, pamoja na wasambazaji wa mawasiliano ya televisheni, kumetokea sintofahamu nyingi huku serikali nayo ikitoa uamuzi wa haraka haraka, umauzi ambao hakuweza kudhirizisha pande zote mbili.

Nilichokifanya muda ule, wakati ule, niliwashauri TCRA, ‘to wait a minute’ na kuwataka waende tena kwenye drawing board kutafuta suluhisho ambalo halitaumiza pande moja wapo.

Wakati TCRA wakiwa bado wako kwenye drawing board, nilikuwa ninawaomba waangalie uwezekano wa kugawanya pasu kwa pasu ile faida inayotokana na channel za bure.

Makampuni ya usambazaji kama DSTV, ZUKU, AZAM na Star times wapate wiki mbili, na wananchi nao wapate wiki mbili…

Wakati mfalme Suleiman alipoletewa kesi ya wanawake wawili wakimgombania mtoto mmoja, aliomba aletwe upanga, ili amkate vipande viwili yule mtoto aliyekuwa anagombaniwa ili wale wanawake wapate pasu- kwa pasu.

Ukija kwenye nadharia ya uhasibu inasema

Total Cost = Direct cost + Indirect cost.

Iwapo service providers wanapata airtime ya ITVI, Channel ten, Clouds Tv, TV Imaan, Wasafi TV bure, that makes one element of cost to be zero. Lets take it to be Direct costs.

So our new equation will be

Total cost = 0 + Indirect cost

So hata kama wanapata contents bure, bado haziwezi kumfikia mwananchi at zero costs. Lazima nao wana costs amabazo wamegharamia ili kusafirisha mawimbi mpaka yamfikie mlaji ikiwa ni pamoja na gharama za uwekezaji, mishahara ya watumishi n.k.

Ukija kwenye uchumi

Total Cost = Variable Cost + Fixed Cost

So tuchukue Air time wanayopewa Dstv et al kuwa ni fixed Cost = 0, Bado Total costs haitokuwa zero kwa kuwa kuna Variable cost.

So, our equation agrees with accounting equation that,

Total cost = Variable cost + 0.



Conclusion:

Kwa kuwa wakina DSTV et al, wanapewa content bure, it will definitely make Total cost to be lower than the actual cost. Perhaps half of the actual cost.

Kwa hiyo kama watapata content just at half the cost, so they need to charge half. That means in stead of charging for four weeks, they need to charge just for two weeks.

This will make a win-win situation.

Jamii itanufaika kwa kuona bure for two weeks, then baada ya hapo, kama hawalipia watazimiwa kwa two weeks. Then hata kama hawajalipia, watapata tena kuona Channel za bure for two weeks, then watazimiwa after two weeks kama hawajalipia. Then hata kama hawajalipia kwa mwezi wa tatu, watapata tena kuona channel za bure for two weeks, then kama hawajalipia watazimiwa for two weeks.



Kwa hiyo uonekanaji wa channel za bure utakuwa unafanya kazi kama indicator ya gari. Inawaka kwa sekunde moja (two weeks), inazima kwa sekunde moja (two weeks), then inawaka kwa sekunde moja (two weeks) etc etc.



Kama TCRA, wataamua kufuata mfumo huu, watakuwa wametatua huu mgogoro kwa kufuata haki bin sawa…
 

Attachments

  • TOZO YA VIFURUSHI VYA BURE.docx
    12.7 KB · Views: 35
Haueleweki na unawapoteza Watanzania
Kabla ya mfumo huu wa kidigital tulikuwa tunaona Bure kabisa stesheni zetu bila ya KING'AMUZI
yaani unatoa waya zako za kuunda tu au zile za chadema (V) unapata bure kabisa
Serikali ikatudanganya tuingie kwenye mfumo huu na tuuache ule wa analogia na tutaona bure Chanel zetu ila zitaongezeka na nyingine na tunaweza kufanya biashara ya matangazo
Mataifa yote yana Channel za Bure na ni kwa faida ya Taifa lolote ili kuujua ulimwengu
kumbuka King'amuzi nimenunua 170,000
Umeme naulipia kila mwezi 45,000
sasa kunipa habari za Maleria nilipie?
ACHA WASONGE MBELE km ni Ligi wakae nazo hukohuko
 
Wanafunzi mna mbwembwe! Ngoja utoke chuo alafu upambane na stress za kiutumishi hautakuwa na wazo zuri kama hilo.
 
FTA channels ziwekewe viwango vidogo vya malipo kwa ajili tu ya hiyo broadcasting cost,kwa kuwa kwa kweli kwa uchumi mbovu wa mtanzania ukimpa tu let's say chanel mbili basi zinamtosha tu kuangalia taarifa ya habari,hatalipia kamwe!sasa watumiaji wengi wasipolipia kwa kuwa tu uchumi wao umewalazimisha kuipenda ITV na Tbc hayo makampuni yatajiendeshaje? Hapo hapo mnawaambia walipe dola laki nne za marekani huku wao wakilisha wateja wao bure! Huu ni utani wa kibiashara!
 
Back
Top Bottom